HOPE FM

Yesu Ndiye Njia

Religion SW ↓ 104 episodes

Yesu Ndiye Njia  is a program hosted by Mr. Zablon Nyonje every Friday on Hope Fm from 8pm to 10 pm. It's a Christian apologetic programme that targets to reach out to people of other faiths who always ask questions about the Christian faith and Biblical teaching.

Author

HOPE FM

Category

Religion

Podcast website

afripods.com

Latest episode

Mar 11, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

VITA 11.03.2026

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu vita vinavoendelea katika nyanja za kimataifa.

HABARI ZA KUFUNGA 23.02.2026

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu habari za kufunga na umuhimu wake katika maisha yetu ya kiroho.

KUFUNGA 27.01.2026

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kuhusu kufunga naumuhimu wake maishani mwetu"

KUMPOKEA YESU KRISTO 20.01.2026

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kumhusu "Kumpokea Yesu Kristo"

KUMFAHAMU YESU KRISTO 02.12.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kumhusu Yesu Kristo ambaye ni mwana wa Mungu.

NENO LA MUNGU 02.12.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu madai kuwa maandiko takatifu yamebadilishwa au kuchafuliwa.

MATESO KWA MWENYE HAKI 02.12.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu kuteseka kwa wenye haki kwa ajli ya Kristo.

SIFA ZA MUNGU WA KWELI 24.11.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu sifa za Mungu wa kweli na asiye wa kweli

UONGOZI 27.10.2025

UONGOZI AIRED ON 17TH OC 2025 BY ZABLON AND YUSUFU

MUNGU WA KWELI 27.10.2025

MUNGU WA KWELI AIRED ON 25TH OCT 2025 BY ZABLON, YUSUFU AND J SMITH

UJUMBE WA MUNGU UNAVYOSTAHILI KUTUMIWA 24.09.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu jinsi ujumbe wa Mungu unavyostahili kutumiwa.

KUZUNGUMZA KWA NDIMI 07.08.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu kipaji cha Roho Mtakatifu cha Kuzungumza kwa Ndimi.

URITHI WA WANAHARAMU 06.08.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu urithi wa mali kwa watoto waliozaliwa nje ya ndoa.'

URITHI KAMILI 31.07.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Urithi Kamili.'

SIKU YA KIAMA 29.07.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Siku za mwisho/ kiama.'

KURUDI KWAKE BWANA YESU 29.07.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Kurudi Kwake Bwana Yesu.'

MNARA WA BABELI 24.06.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Mnara wa Babeli.'

WOKOVU 24.06.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Wokovu' na manufaa yake.

HABARI ZA 'BETTING' 09.06.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu masuala ya ' betting' na madhara yake.

MBONA BWANA YESU AKAMTUMIA PUNDA? 09.05.2025

Ungana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili mbona Yesu alimtumia Punda katika huduma yake.

JE, YESU ANAPASWA KUABUDIWA? 08.05.2025

Ungana na Mwalimu Yusuf Kwoma na mwenzake Zablon Nyonje katika kipindi cha YESU NDIYE NJIA. Mjadala ukiwa 'Iwapo Yesu Anapaswa Kuabudiwa.'

UBINADAMU 30.04.2025

Ungana na Mwalimu Zablon na Yusuf wanapojadili kuhusu Ubinadamu wa Yesu ambaye ni mwana wa Mungu.

JE, YESU NI MUNGU? 16.04.2025

Ungana na Mwalimu Yusuf na Zablon Nyonje kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapojadili iwapo Yesu ni Mungu.

SIRI YA NDOA 10.04.2025

Ungana na Mwalimu Yusuf na Zablon Nyonje kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapojadili kuhusu siri ya ndoa.

WANAWAKE KATIKA JAMII 09.04.2025

Ungana na Mwalimu Yusuf na Zablon Nyonje kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapojadili kuhusu sehemu ya wanawake katika jamii.

Listen to the Yesu Ndiye Njia podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.