Tikvah

Tikvah's Podcast

Arts EN ↓ 7 episodes

The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world. 

Author

Tikvah

Category

Arts

Latest episode

Jul 4, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira 04.07.2026

Send us Fan Mail Katika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa. Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa linapaswa kuwa makini zaidi? This conversation is about wisdom, discernment, biblical truth, and keeping Christ at the center in a fast-changing wor...

AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo 27.06.2026

Send us Fan Mail Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili , tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer. Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kubadilisha music production na ubunifu kwa ujumla. Je, AI ni tool nyingine tu kama tulivyozoea kutumia studio software, au imeanza kuchukua n...

Yusufu: Kivuli cha Kristo 21.06.2026

Send us Fan Mail Simulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo. Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainuliwa ili kuhifadhi uhai wa wengi. Kwa namna kubwa zaidi, yote haya yanatuelekeza kwa Yesu Kristo — Mwana mpendwa wa Baba, aliyekataliwa, aliyetese...

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 3 08.06.2026

Send us Fan Mail Katika Episode hii nimefanya mazungmzo na kaka yangu na mwalimu wangu Faith Joel Shimba Kuhusu namna kanisa limejikuta likibobea katika shughuli za kiroho na kusaua kuhusu Mungu

Uchambuzi wa Nyimbo-Kitabu by Paul Clement 27.05.2026

Send us Fan Mail Tumejadili kuhusu live record ya wimbo wa Paul Clement Kitabu(Ajabu) wimbo unapatikana kwenye Youtube channel yake Paul Clement pamoja na Digital Platform zote, tumejadili kuhusu ubora wa utunzi ubora na ubora wa video Karibu kusikiliza

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2 27.05.2026

Send us Fan Mail Katika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho. Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochuk...

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu? 21.05.2026

Send us Fan Mail Katika episode hii tunazungumzia tofauti kati ya kumwamini Mungu na kuamini mbinu za kiroho. Mara nyingi waamini tunajikuta tukiegemea sana maombi, kufunga, ibada, na taratibu mbalimbali za kiroho kiasi kwamba tunasahau kuwa vitu hivi vilikusudiwa kutupeleka kwa Mungu — sio kuchukua nafasi ya Mungu mwenyewe. Kupitia simulizi la Musa na mwamba, pamoja na mafundisho ya Yesu kuhusu m...

Listen to the Tikvah's Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.