Standard Media

Siasa na Gumzo

History SW ↓ 44 episodes

Mijadala, uchambuzi na gumzo la kusisimua kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Author

Standard Media

Category

History

Podcast website

www.standardmedia.co.ke

Latest episode

Jul 25, 2024

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android almost 10M downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Gumzo la Wiki Podcast; Gideon Moi debeni 2022; hofu UDA na OKA 02.10.2021

Kuidhinishwa kwa Gideon Moi kupeperushwa bendera ya KANU kumezidisha ushindani wa urais kuelekea 2022. Aidha, Rais Kenyatta anawawinda wana-OKA usiku na mchana ili wote waseme Mzee Tinga tosha. Na je, wabunge wa Kieleweke watafaulu kumfanyia Odinga kampeni Mlima Kenya? Nao wandani wa Ruto wanasema wafanyabiashara wa Mt. Kenya Foundation hawana usemi wa kisiasa. Vilevile tumeangazia Mswada wa NHIF...

Gumzo la Wiki Podcast: Waiguru ajongea UDA, naye Raila amlaumu Ruto kuhusu BBI 26.09.2021

Je, ni kweli kuwa BBI ilichangia kukwama kwa miradi ya maendeleo? Kuna haja ya Rais Kenyatta na Odinga kuwaomba Wakenya msamaha kwa kuhujumu maendeleo kupitia BBI jinsi anavyodai Naibu wa Rais, William Ruto? Na je, ni sawa kwa Kenyatta na Odinga kumlaumu Ruto kwa kuchangia kuanguka kwa BBI au ni visingizio tu? Aidha, siasa za eneo la Kati zinazidi kuwa ngumu, Martha Karua akiteuliwa kuwa Msemaji w...

Gumzo la Wiki Podcast: Usalama Laikipia; siasa za 2022-Wakenya wazungumza 12.09.2021

Suala la usalama huko Laikipia linazidi kuwa kero huku wanasiasa wakilaumiwa kuchochea hali hiyo. Je, nani wa kulaumiwa kufuatia kudorora kwa usalama? Ruto naye amemjibu Matiang'i kuwa iwapo anadhani ana ardhi Laikipia, basi awagawie wakazi. Katika ulingo wa siasa, Mlima Kenya imekuwa kama msichana mrembo anayemezewa mate huku kila anayetaka kuwania urais akitafuta mgombea mwenza huko. Nani awe mg...

Gumzo la Wiki Podcast; Usalama wa Ruto - Wakenya wazungumza 08.09.2021

Suala la usalama wa Naibu wa Rais, William Ruto limezua mjadala mkali wiki hii na hata kugeuka kuwa mazungumzo ya kulinganisha mali anayomiliki Ruto dhidi ya viongozi wengine. Aidha, maswali mengi yameibuliwa kufuatia jinsi Waziri wa Usalama, Dkt. Fred Matiang'i alivyotumia vikao vya bunge kutangaza mali ya Ruto hasa inayolindwa na maafisa wa usalama. Je, unadhani hatua hiyo imemmaliza au ndiyo im...

Gumzo la Wiki Podcast: Ziara ya Ruto Uganda - cheche za ODM na NRM; kauli za Wakenya 08.08.2021

Suala la kuzuiwa kwa Ruto kwenda Uganda linazidi kuzua gumzo, taifa hilo likisema halikufahamu kuhusu ziara hiyo. Karanja Kibicho naye anasema ofisi yake haikuwa na habari. Nani hasa aliyepiga simu Ruto azuiwe? ODM nayo inasema Ruto alilenga kwenda Uganda kujifunza namna ya kutwaa uongozi kwa nguvu ama kukatalia madaraka. Je, bottom up ni ya kuinufaisha Uganda jinsi inavyodai ODM? Naye Murathe ame...

GUMZO LA WIKI PODCAST: Mauaji Yamezidi, Nao Wanasiasa Wamechanganyikiwa 31.07.2021

Suala la polisi kupewa ushauri nasaha ili kukabili msongo wa mawazo limekuwa gumzo wakati wa mazishi ya Caroline Kangogo. Ni hali ambayo imewakumba wengi. Je, lipi lifanyike ili kukabili hali hii? Aidha, kila kiongozi wa NASA sasa anautoroka muungano huo. Kunani? Na baada ya hatua hiyo, wataingia katika miungano gani au nani ataungana na nani? Raila pia amejaribu kujitangaza Mlima Kenya kupitia wa...

GUMZO LA WIKI PODCAST: Jubilee imesambaratika? Mpango mbadala wa BBI ni gani? 25.07.2021

Cheche kali za maneno zinaendelea ndani ya Jubilee baada ya kurambishwa sakafu na UDA huko Kiambaa, huku baadhi wakishinikiza kufurushwa kwa Tuju na Murathe chamani. Kenyatta naye amefoka akiwa Kilifi na kuwataja kuwa maadui wanaotatiza juhudi zake za kuleta umoja na maendeleo. Je, hao maadui ni akina nani? Vipi kuhusu reggae ya BBI? Kenyatta na Odinga wasisitiza kwamba ngoma hiyo ingalipo na kwam...

GUMZO LA WIKI PODCAST: Kuchanganyikiwa ndani ya NASA; Raila na Kalonzo walumbana 13.07.2021

Raila Odinga ameandika maono 15 ambayo angependa kuafikiwa nchini. Ruto na Mudavadi wamemsuta wakisema anashtukia mambo ambayo wengine wamekuwa wakiyazungumzia. Mbali na hilo, Raila anadai hakusema kwamba likuwa na risasi moja ya kuwania urais. Pia akiulizwa, anasema hajatangaza iwapo atawania. Je, unamwamini? Raila pia anasema kura ya maamuzi lazima ifanyike, hata miezi 3 kabla ya uchaguzi mkuu w...

GUMZO LA WIKI PODCAST: Wakenya kuhusu BBI, mikopo na utapeli wa wabunge 04.07.2021

Mapambano ya kisheria yamedhihirika katika Mahakama ya Rufaa. Hoja kuu ikiwa mwasisi hasa wa BBI ni nani. Ni Rais Kenyatta, Raila Odinga au ni Junet Mohammed na Dennis Waweru? Aidha, ripoti ya Mhasibu Mkuu wa Serikali imeweka wazi jinsi wabunge wanavyopora pesa za umma kupitia marupurupu ya usafiri. Pia, serikali inaendeleza kopakopa na mara hii Rais amekwenda kuomba bilioni 160 nchini Ufaransa hu...

GUMZO LA WIKI PODCAST; Uhuru asema atamuunga mgombea wa NASA; hoja za Wakenya 24.06.2021

Suala la viongozi wote kutakiwa kuwa na digrii ili kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa limezua gumzo nchini huku Naibu wa Rais, William Ruto akiungana na wanaopinga hitaji hilo lililotajwa na IEBC. Tayari Seneta Kipchumba Murkomen ameandaa mswada unaolenga kufutilia mbali hitaji hilo huku watakaowania wakitakiwa kuwa na uwezo wa kusoma na kuandika lugha za Kiswahili na Kiingereza pekee na wenye m...

Gumzo la Wiki Podcast: Wakenya wakosoa bajeti; haimjali mtu wa kawaida 13.06.2021

Hisia kali zimejitokeza kufuatia bajeti iliyosomwa na Waziri wa Fedha, Ukur Yattani huku Wakenya wakilalamikia kukandamizwa kwani watazidi kutozwa kodi ya juu ili kufadhili bajeti hiyo ya shilingi trilioni 3.6. Wakulima nao wanalalamikia kukandamizwa kwa sekta ya kilimo ilhali ni uti wa mgongo wa taifa hili. Vilevile, Wakenya wameghadhabishwa na kauli ya Waziri Yattani kwamba serikali itaendelea k...

GUMZO LA WIKI PODCAST; Rais anahujumu idara ya mahakama, Wakenya wazungumza 08.06.2021

Hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kuwaidhinisha majaji 34 na kuwaacha 6 akiwamo, Joel Ngugi na George Odunga ambao walikuwa miongoni mwa majaji walioharamisha BBI, imeendelea kuibua hisia kinzani hasa kuhusu uhuru wa Idara ya Mahakama. Je, unadhani Rais analipiza kisasi ama kuna sababu maalumu za kuwakataa sita hao? Aidha, katika maadhimisho ya Madaraka, Rais aliendelea kushtumu mahakama akisema majaji...

GUMZO LA WIKI PODCAST; BBI iendelee au la? Uhuru ataacha rekodi ya maendeleo? Wakenya wanajadili 30.05.2021

Mjadala mkali unaendelea kuhusu iwapo mchakato wa BBI unafaa kusitishwa kabisa hadi baada ya uchaguzi mkuu ujao au la. Naye Naibu wa Rais, William Ruto amesema kusimamishwa kwa BBI mahakamani vilevile mikutano ya kisiasa ni ujumbe kwamba pana haja ya mashauriano kufanyika kuhusu mustakabali wa Kenya. Aidha, Kenyatta amezindua upya Kiwanda cha Nyama, KMC chini ya Jeshi la Ulinzi KDF, akisema anateg...

GUMZO LA WIKI PODCAST: Kivumbi cha chaguzi ndogo, vilevile BBI; Wakenya wanasemaje? 26.05.2021

Wakenya wanatoa hisia kali kuhusu chaguzi ndogo za Bonchari, Juja na Rurii ambapo polisi wengi walionekana, suala ambalo wengi hata viongozi walilalamikia vikali. Aidha, kung'aa kwa UDA na kushindwa kwa Jubilee katika chaguzi ndogo kumechochea mjadala nchini. Jambo jingine ni je, Mahakama ya Rufaa pia itaangusha BBI au la? John Mbuthia wa Nyeri, William Omasire wa Nyamira na Martin Ndiema wa Trans...

Gumzo la Wiki Podcast; Kweli, twachangia mimba na kuvunja ndoa - waendesha bodaboda wakiri 19.05.2021

Kufuatia madai mengi kwamba waendesha-bobaboda wanaongoza katika kushiriki mapenzi na wasichana pia wanawake walioolewa, tumezungumza na baadhi yao kujua kama ni kweli, vilevile kulenga kujua sababu. Wanakiri, huku wakisema wanawake wenyewe ndio huwatongoza. Mmoja wao anakiri kujihusisha na zaidi ya wanawake 80. Sikiliza mazungumzo baina yao na wanahabari wetu, John Mbuthia wa Nyeri, Willie Khaemb...

Gumzo la Wiki; Wakenya Kuhusu Mahakama kusimamisha BBI 15.05.2021

Wakenya wametoa hisia mbalimbali kufuatia hatua ya Mahakama Kuu kusitisha mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia BBI. Majaji watano wa mahakama hiyo wanasema kuwa Rais Kenyatta alivunja sheria kwa kuanzisha mchakato huo; kwamba haukuanzishwa na wananchi wala bunge jinsi inavyosema katiba. Kamati-simamizi ya BBI inakata rufaa. Je, Reggae itarejelewa au la? Wanahabari wetu, John Mbuthia wa Nyeri,...

Gumzo la Wiki Podcast; Wakenya Kuhusu Mikopo na Ugumu wa Maisha 18.04.2021

Wakenya wanailaumu serikali kwa kuchukua mikipo mara kwa mara. Aidha wanaulaumu kwa kutoweka mikakati ya kuwainua kiuchumi kutokana na athari za korona. Wanahabari wetu wa Nyeri, John Mbuthia, Moses Kiraese wa Pokot na Martin Ndiema wa Trans Nzoia wamezungumza na wakazi wa maeneo yao.

Barua Kang'ata Yatetemesha! ​ 22.01.2021

Barua Kang'ata Yatetemesha! ​

Gumzo la Maisha - Episode 1 24.12.2020

Gumzo la Maisha - Episode 1

Listen to the Siasa na Gumzo podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.