DENIS LEONARD NTABULUGWA
SHADOTUBE
Nimetengeneza hii Podcast kwa makusudi makuu matatu, Kwanza ninapenda kufanya, pili ni kwa lengo la kusaidia wengine na tatu ni kwaajili ya kufika mbali .Bila kujali ni mahali gani umetokea au kukulia nitajitahidi kwa njia zangu zote nilizojifunza na kufundishwa na wengine kukusaidia ili kuweza kutimiza haja, nia na ndoto yako juu ya mambo usio ya fahamu ya teknolojia, katika mfumo wa video na audio. Nimeanza kujifunza ni namna gani ya kusaidia wengine nikiwa bado mdogo na haya yote nimeyapata baada ya kuweza kupitia changamoto mbali mbali ambazo zimenifanya nithubutu kusaidia.
Author
DENIS LEONARD NTABULUGWA
Category
Podcast website
Latest episode
Aug 3, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Suluhisho za Tatizo la FaceID ya iOS - Ufafanuzi wa Kina. 03.08.2025 5:37
Karibu kwenye podcast yetu maalum inayoshughulikia matatizo ya FaceID kwenye vifaa vya iOS! Katika kipindi hiki, tutajadili kwa lugha ya Kiswahili suluhisho mbalimbali za matatizo yanayowakabili watumiaji wa iPhone na iPad wakati wa kutumia teknolojia ya utambuzi wa uso. Utajifunza: • Jinsi ya kutatua matatizo ya msingi ya FaceID • Sababu za kawaida zinazosababisha FaceID kutofanya kazi • Hatua za...
iOS 26 : Mabadiliko Makubwa ya Apple Unayostahili Kujua, "iOS 26 Updates: Revolutionary Change." 12.06.2025 7:02
Swahili: Karibu kwenye kipindi kipya cha Shadotube! Katika dakika 7 tu, utajifunza kila kitu kuhusu iOS 26 - toleo jipya la Apple ambalo linabadilisha kabisa jinsi unavyotumia iPhone yako. Nitaangalia vipengele vipya vya kushangaza, mabadiliko ya usalama, na jinsi hivi vitakuathiri wewe kama mtumiaji. Ikiwa ni mtaalamu wa teknolojia au mtu wa kawaida anayetaka kujua mambo mapya ya Apple, kipindi h...
🔥 Podcast Editing Hacks: Mafunzo ya Kisasa ya Kutengeneza Audio Bora 25.05.2025 3:42
Je, unataka podcast yako isikike kama ile ya kitaaluma? Katika mafunzo haya ya kina, utajifunza mbinu za kisasa za kuedit audio ambazo wataalamu wanatumia. Nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuondoa kelele, kuongeza sauti, kuweka muziki wa mandhari, na kutengeneza mtiririko wa kupendeza. Hata kama ni mwanzo wako, baada ya mafunzo haya utaweza kutengeneza podcast yenye ubora wa hali ya juu. Jian...
🏆 Tanzania's Tech Pride: Officially Apple Certified Professional. 08.06.2024 2:34
Historia inayotia moyo! Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, fundi wa teknolojia amepata uthibitisho rasmi kutoka Apple Inc. - kampuni kubwa zaidi ya teknolojia duniani. Fundi huyu mzalendo amefanikiwa kupita mitihani migumu ya kimataifa na sasa ni mmoja ya wachache duniani walioidhinishwa rasmi na Apple kutengeneza na kurekebishwa vifaa vyao. Hii ni dalili ya maendeleo makubwa ya tekno...
Tuongee Teknolojia: Mazungumzo ya Kisasa kuhusu Dunia ya kidigitali. 29.04.2024 1:53
Karibu kwenye "Tuongee Teknolojia" - podcast ya kwanza nchini Tanzania inayowasilisha teknolojia kwa lugha yetu ya kimaumbile! Kila juma, tunakutana na wataalamu, wabunifu, na viongozi wa teknolojia ili kujadili mabadiliko yanayotokea katika dunia ya dijiti na jinsi yanavyoathiri maisha yetu ya kila siku. Kutoka kwa simu za mkononi, kompyuta, mitandao ya kijamii, biashara za mtandaoni, hadi teknol...
Tanzania Content Creators 21.04.2024 1:51
Nini tufanye sisi kama vijana wa kitanzania ambao tunatamani kufika mbali, tunatamani kuona wanaptuzunguka wanajifunza kutoka kwetu.
Asanteni sana 11.03.2024 1:12
Natoa shukrani zangu za dhati kwenu mashabuki wangu
Unaionaje sarafu mpya ya EAST AFRICA, maona ni mwanzo mzuri sasa wa kuongeza ukuaji wa jumuiya yetu. 05.03.2024 2:12
Kama mwana chama na mwananchi wa miongoni mwa nchi zinazounda Umoja wa Africa Mashariki ni mefurahi kuanza kuona fununu za sarafu ambayo itakua inatumika ndani ya umoja wetu.
Bandle 22.12.2023 1:00
Tumia internet
Shorts Custom Thumblenail for your youtube shorts videos. 28.10.2023 3:50
Shorts Custom Thumblenail it easily to use this process
Linda simu yako dhidi ya upotevu. 21.10.2023 5:03
Kupitia kipindi hiki utajifunza namna ya kutunza details zako
DV-2024 Program: Ungana na mimi hatua kwa hatua. 17.08.2023 5:18
Jifunze namna ya kujisajili na kuweza kua miongoni mwa washindi wa (Green Card Rotary) DV-2024 Program: Online Registration DV-2024 Program: The online registration period for the DV-2024 Program begins on Wednesday, October 5, 2022, at 12:00 noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT-4) and concludes on Tuesday, November 8, 2022, at 12:00 noon, Eastern Standard Time (EST) (GMT-5). Submission of more...
Asanteni sana wasikilizaji wangu, kama unatamani kufungua na kujifunza podcast, usisite kuuliza. 12.03.2023 1:25
Najua watu wengi wanapitia wakati mgumu sana katika kuuliza maswali ni namana gani mimi nimeweza kufungua podcast yangu, Naweza sema niko tayari kukufundisha na wewe uweze kufungua podcast yako.
Kabisaa sio masihala mahusiano ya sasa ni petrol inayotembea. 16.01.2023 0:43
Ni kutulia na kuangalia malengo ya maana na kuacha kuluka luka.
Shukrani zangu kwa ushinfi wa yanga leo 09.11.2022 0:33
Hongereni sana timu yangu kwa kuvuka hatua ngumu ambayo wengi wetu tulikua hatutegemei☺️☺️
Gundua jinsi gani una channel yako ndani ya YouTube bila kujua. Ila unaweza. 09.08.2022 3:56
Kutokana na watu webgi kuongezeka ndani ya YouTube, watu wamekua na channel bila kujua. Inawezekana ukawa unajua au hujui lakini ukifuatilia video hii utagundua kitu.
Karibuni sana katika podcast yangu. 05.08.2022 0:17
Nitafurahi sana kama ukiniffolow na kuendelea kushare podcast yangu. Asanteni sana.
Ungana na sisi kakatika kukua zaidi katika biashara ya Forex. 15.02.2022 8:57
Jiunge na sisi kwa kupata faidia zaidi kwa kua mtajia tutakaokua nao utatuwezesha kukua na kufanikisha malengo yetu, makubaliano mazuri kati yetu na wewe ndio yatakua mafanikio ya biashara yetu
S01EP002 | Elewa maana halisi ya forex kwa mwalimu wa forex aitwae GREENBACKS. 25.01.2022 13:11
Ndio, huyu ndio mwalimu anae ielewa forex kwa undani zaidi, ambae hachagui lika wala mahali, anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha unapata elimu iliyo bora. MP4 ya audio hii utaipata kwenye channel yetu ya SHADOTUBE. Kupitia link hii https://youtu.be/Hwq3sLrnErg
S01EP001 | Ufafanuzi wa rebet service ambayo inatolewa na kijana wa kitanzania | GREENBACKS. 25.01.2022 2:40
Yea, hii ndio maana halisi ya rebet service ambayo inatolewa na GREENBACKS kupitia segment yake ya CASHBACK kihakikisha vijana wote wanao trade Tanzania wananufaika na huduma hii ili waweze kukua na kuendelea kupata faidia zaidi ndani ya forex. MP4 Vision ya audio hii inapatikana kupitia link hii https://youtu.be/IxgMqF7mjB0
Njia ya kuweka pesa yako ndanii ya Hotforex bila kupitia kwa LD 22.11.2021 5:54
Yes, full video ipo youtube
Karibuni sana wana africa mashariki tuweze kuzungumza tech. 06.10.2021 0:24
Naitwa Denis Leonard Kutoka Dar es Salaam Tanzania, ninafuraha kuanzisha podcast yangu kwa lengo la kukufyndisha na kukuelekeza wewe unaenifuatilia kujua zaidi.
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.