Mwalimu Huruma Gadi

Mwalimu Huruma Gadi

Where the Kingdom of God overrides our distorted reality!

Author

Mwalimu Huruma Gadi

Category

Religion

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Oct 20, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

B4: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

B2: UMEFANANA NA KRISTO

B2: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

B2: UMEFANANA NA KRISTO

B3: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

B2: UMEFANANA NA KRISTO

B1: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

B1: UMEFANANA NA KRISTO

A7: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

Jifunze nguvu ya shukrani katika moyo wako na nafasi ya Roho Mtakatifu katika matoleo ya shukrani

A6: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

Ulipozaliwa mara ya pili wewe umekuwa kiumbe kipya hapa duniani, jifunze asili yako mpya uliyoipata baada ya kuzaliwa mara ya pili.

A5: UMEFANANA NA KRISTO 23.01.2020

Jifunze kweli ya kristo kuhusu mzaliwa wa kwanza ili uwe huru kwelikweli.

A4: UMEFANANA NA KRISTO 16.01.2020

Mtu ambaye amezaliwa mara ya pili anafanana na Kristo na mtu ambaye hajazaliwa mara ya pili anafanana na Adam, wewe ambaye umezaliwa mara ya pili maana yake kwamba sasa hivi mzazi wako wewe yaani Mungu na mzaliwa wako wa kwanza ni Yesu Kristo. Msikilize Mwalimu Huruma Gadi ili uweze kuijua kweli hii ya Kristo.

A3: UMEFANANA NA KRISTO 16.01.2020

Umeumbwa katika sura na mfano wa Mungu, yaani kama vile Mungu alivyo ndivyo na wewe ulivyo hapa duniani, kama ni hivyo mazingira na kila kitu cha ulimwenguni kimetiishwa kwako, wewe ni mtawala, msikilize Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuishi katika uhalisia wa kufanana na Kristo

A2: UMEFANANA NA KRISTO 15.01.2020

Umeumbwa katika sura na mfano wa Mungu, yaani kama vile Mungu alivyo ndivyo na wewe ulivyo hapa duniani, kama ni hivyo mazingira na kila kitu cha ulimwenguni kimetiishwa kwako, wewe ni mtawala, tusikilize somo ili tuanze kuishi katika uhalisia wa kufanana na Kristo

A1: UMEFANANA NA KRISTO 13.01.2020

Kama kuna eneo lolote katika maisha yako linakusumbua (afya, uchumi, mahusiano n.k) ni kwasababu uzima wa Mungu haujaweza kuingia katika hilo eneo, msikilize Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuruhusu uzima wa Mngu kuingia katika kila eneo la maisha yetu

B7: MKRISTO NI NANI? 13.01.2020

B7: MKRISTO NI NANI?

B6: MKRISTO NI NANI? 11.01.2020

B6: MKRISTO NI NANI?

B5: MKRISTO NI NANI? 11.01.2020

B5: MKRISTO NI NANI?

B4: MKRISTO NI NANI? 09.01.2020

Hatua ya kwanza ya kanisa ni mtu kupata ufunuo ufunuo kwamba Yesu wa Nazareth ndiye Kristo mwana wa Mungu aliye hai. Tumsikilize Mwalimu Huruma gadi katika hatua ya pili ya kanisa

B3: MKRISTO NI NANI? 08.01.2020

Waefeso 2:8 Neno linatuambia tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani na si kwa matendo yetu, hfahamu kuwa kuwa hakuna tendo lolote jema linaloweza kukutunzia wokovu bali Yesu Kristo peke yake ndiyo anaweza kukutunzia wokovu, Tumsikilize Mwalimu akitufundisha kuishi kwa imani na si kwa matendo katika sehemu hii ya somo

B2: MKRISTO NI NANI? 07.01.2020

Neno linatuambia kusikiliza mapokeo ya wanadamu na mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si ya Kristo yanasababisha kuwa mateka.  Leo Mwalimu anatufundisha namna ya kuenenda katika upaya wa maisha ya Kristo ili tusiendelee kuwa mateka.

B1: MKRISTO NI NANI? 06.01.2020

Ukristo ni maisha ya Mungu ndani ya Mwanandamu, na haya maisha ya Mungu ndani ya mwanadamu yanawezeshwa kwa Roho wa Mungu. Jifunze zaidi kwa kusikiliza somo

A5: MKRISTO NI NANI? 05.01.2020

A5: MKRISTO NI NANI?

A4: MKRISTO NI NANI? 04.01.2020

ama Roho Mtakatifu, Roho wa Kristo yuko ndani yako wewe ni mali ya Kristo na kama hauna Roho wa Kristo ndani yako wewe si Mkristo. Utajifunza utofauti wa Roho wa Kristo wa kuwa juu yako na ndani yako

A3: MKRISTO NI NANI? 03.01.2020

Katika sehemu hii ya somo Mwalimu anatufundisha umuhimu wa kukaa, kudumu na kuzingatia yale ambayo Bwana Yesu amesema.

A2: MKRISTO NI NANI? 02.01.2020

Mkristo ni mwanafunzi wa Kristo. Sisi kama wanafunzi wa Kristo, tunatakiwa kuishi kwa kujifunza yale ambayo Bwana Yesu alikuwa akiyafundisha na kuyafanya. Katika sehemu hii Mwalimu Huruma Gadi anafundisha mambo ambayo Bwana Yesu alikuwa akiyafundisha na kuyatenda. Tusikilize ili kuyafahamu haya yote.

A1: MKRISTO NI NANI? 01.01.2020

A1: MKRISTO NI NANI?

A5: UFALME WA MUNGU KWANZA 2020 01.01.2020

A5: UFALME WA MUNGU KWANZA 2020

A4: UFALME WA MUNGU KWANZA 2020 30.12.2019

A4: UFALME WA MUNGU KWANZA 2020

Listen to the Mwalimu Huruma Gadi podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.