Jacqueline Owden
Mental Glow
Mental Glow is a podcast that is meant to educate, motivate, and inspire you to nurture and transform your mental well-being for the better. Meet Jacqueline Owden, as she has momentous conversations with different experts on matters related to mental health that will help you to glow mentally. "The sole purpose of human experience is to kindle a light in the darkness of mere being.” –Carl Jung
Author
Jacqueline Owden
Category
Podcast website
Latest episode
Mar 27, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
24 - Ukali na Mipaka Katika Malezi ft. Elisha Thomas 13.10.2023 59:29
Katika malezi ya kitanzania, ukali umeonekana kama ndo njia bora zaidi inayosaidia katika kumuweka mtoto katika mstari ulionyooka, na tunasahau kuwa kuna njia nyingi ambazo wazazi wanaweza kutumia katika kuwakuza watoto wao kwenye malezi yaliyo bora. Ungana nami katika kipindi hiki, nikiwa pamoja na Bw. Elisha Thomas tukijadili kuhusu mada hii, na kujifunza zaidi kupitia malezi aliyokulia Bw. Elis...
23 - Migogoro ya Wazazi katika Familia na Jinsi Inavyo Muathiri Mtu Mzima Ajaye ft. Barnabas Nkinga 29.09.2023 27:47
Uchambuzi wa utafiti uliofanyika nchini marekani unaonyesha kuwa ongezeko la mivutano au migogoro kati ya wazazi ina uhusiano mkubwa na upungufu wa ukaribu wa kihisia kati ya mtoto na mzazi, na malezi yasiyo bora. Watoto wanaoshuhudia mivutano au migogoro ya wazazi mara nyingi wanakabiliwa na matatizo makubwa katika mahusiano yao na pia husababisha kuvunjika kwa uhusiano kati ya mzazi na mtoto, ja...
22 - Mambo ya Kuzingatia Katika Kujenga na Kudumisha Mahusiano Mazuri ft. Nickson Kataze 15.09.2023 50:09
Tafiti zimebainisha kuwa mambo tofauti kama hali ya kiuchumi, mazingira, kujitambua, na mengineyo huathiri sana ubora wa mahusiano. Pamoja na hilo, watu wengi wamekuwa wakipata changamoto katika kutofautisha aina mbalimbali za mahusiano, na hii kupelekea mkanganyiko katika kuhusiana na watu katika mazingira tofauti tofauti. Katika kipindi hiki, nimeungana na mwanasaikolojia tiba Mr. Nickson Kataze...
21 - Jinsi Uzoefu Binafsi na Tamaduni Zilivyo na Mchango Mkubwa Katika Mahusiano ft. Mariam Albhai 01.09.2023 42:28
Mahusiano ni muhimu katika maisha ya kila binadamu na tafiti zimethibitisha kwamba kwamba mahusiano yasio na afya ni miongoni mwa vihatarishi vya kupata changamoto za afya ya akili na hata kupata magonjwa ya akili kama vile sonona. Ungana nami katika kipindi hiki, nikiwa na Mariam Albhai tukitambulisha msimu huu wa pili pamoja na kuongelea jinsi uzoefu na tamaduni zetu zilivyo na mchango mkubwa ka...
20 - The Impact of Parenting on a Child's Mental Health in Tanzania ft. Mariam Albhai 26.05.2023 1:34:09
Research holds that the mixed model of parenting style seems to be the best parenting style in early psychosocial development in Tanzania (Lema & Manyama, 2017). In this episode, we examine the cultural context and societal pressures that shape parenting practices in Tanzania, which often leave an indelible mark on children's mental well-being. Throughout the episode, I engage with Ms. Mariam Albh...
19 - Conquering Fear 19.05.2023 27:11
Based on the statistics shared by Tanzania Daima in 2011, show that as many as 78% of Tanzanians were fearful which hindered any motivation for individual performance and collective action in productivity. Fear not only increases doubt, and procrastination but also distracts you from being productive. And when it is severe, may even lead to psychological problems. Do not allow fear to hold you bac...
18 - Transitioning to Adulthood ft. Vincent Mallya 12.05.2023 27:01
This episode is for everyone, whether you've just graduated from high school, are a college student, or are simply trying to figure out how to deal with the challenges of adulthood. In this episode, we explore the period of transitioning to adulthood because it is a period in which most youths face many challenges, and without guidance and support they end up experiencing psychological problems. J...
17 - Breaking Cultural Barriers and Stigma to Mental Health Care in Tanzania ft. Magolanga Shagembe 05.05.2023 40:32
Mental health is a critical part of overall wellness, but many people in Tanzania are hesitant to seek help due to the stigma surrounding mental health issues. Additionally, cultural barriers can prevent individuals from accessing the care they need, further exacerbating the problem. In this episode, we explore the challenges of accessing Mental health care in Tanzania as a result of stigmatizatio...
16 - The Power of Now: Breaking Free from Procrastination 28.04.2023 28:39
Do you frequently wait until the last minute to complete tasks? Even if you are aware that you possess the knowledge and skills necessary to complete the task, do you frequently struggle to meet deadlines? If so, this episode is for you. Procrastination has become an all-too-common issue in today's fast-paced society, affecting everyone from students to professionals to business owners. But why do...
15 - Unpacking the Links Between Mental Health and Poverty ft. Aron Zahran 21.04.2023 44:56
According to the statistics of 2016-2022, around four percent of the world's population in extreme poverty lived in Tanzania. For Tanzania to be able to eradicate poverty, it needs to focus on improving the Education and Health sectors. In this episode, we address the complex interplay between Mental Health and Poverty by having an international comparative focus. We discuss how poverty can impact...
14 - Usonji | Autism ft. Hussein Mshunga 14.04.2023 27:56
Mmoja kati ya watoto mia moja (1/100) duniani kote hugundulika kuwa na Usonji. Usonji huwapata wavulana mara nne zaidi kuliko wasichana. Nchini Tanzania, kumekua na elimu ndogo kuhusiana na Usonji na hii kupelekea ubaguzi kwenye baadhi ya familia zenye watoto wenye Usonji. Ungana nasi tunapo angazia ulimwengu wa watu wenye Usonji. Katika episode hii tunaongelea maana ya usonji, jinsi ya kumgundua...
13 - Uonevu | Bullying ft. George Chacha 07.04.2023 59:07
Sio kila tabia inayo ashiria uonevu ni tabia ya uonevu. Tabia ya uonevu haikubaliki. Inaumiza, ina angamiza, na ina haribu maisha ya watu. Kutokana na tafiti iliyofanywa nchini Tanzania, imegundulika kuwa uonevu ni moja ya tabia inayo ongoza kusababisha changamoto ya afya ya akili mashuleni. Tabia hii ya uonevu haiko pekee katika mashuleni lakini pia ipo maeneo yetu ya kazi na majumbani mwetu. Kat...
12 - Mtazamo | Perception ft. Spencer Minja 31.03.2023 46:43
Watafiti tofauti wanasema kwamba kujitambua, na maisha tuliopitia zamani yana mchango mkubwa katika mitazamo yetu. Ni mara nyingi huwa tunajisikia kama hatuna nguvu ya kubadilisha mambo mengi katika maisha yetu na hii inakua kikwazo kikubwa sana kwa vijana wengi nchini Tanzania, lakini ukweli ni kwamba mtazamo wetu unaweza kutusaidia kufikia mafanikio makubwa. Kwenye episode hii, nimeungana na Bw....
11 - Maendeleo ya Taaluma ft. Flora Wadutya 24.03.2023 1:18:17
Maendelo ya Taaluma ni mchakato na sio kitu cha mara moja. Tangia utotoni, tunakuwa na matamanio ya kuwa na taaluma fulani na mara nyingi tunaishia kuwa na taaluma tofauti na tulio tamani utotoni. Vijana wengi nchini Tanzania wanapata changamoto kwenye kuchagua taaluma inayo wafaa, na wengi wao hushawishiwa na wazazi wao kusoma masomo ambayo hawana mapenzi nayo wala kuyaweza. Hii hupelekea hofu, m...
10 - Sonona na Wanawake 17.03.2023 24:53
Wanawake ni nguzo muhimu sana katika jamii yetu. Mwanamke hasimami kama mama tu, bali pia anasimama kama chachu ya maendeleo katika jamii. Pamoja na kukumbwa na changamoto mbalimbali katika jamii, wanawake bado hutafuta njia kutimiza malengo yao. Kutokana na utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) imegundulika kuwa sonona inawapata sana wanawake kuliko wanaume kutokana na sababu mbalim...
09 - Sonona | Depression ft. Eric Bunono 10.03.2023 31:39
Kutokana na utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO), imegundulika kuwa sonona inaongoza kusababisha ulemavu duniani kote. Kutokana na uelewa mdogo wa saikolojia nchini Tanzania imepelekea kwa watu wengi kuchanganya kati ya sonona (depression) na msongo wa mawazo (stress). Ungana nami katika hii episode nikiwa na Mwanasaikolojia na Public Speaker, Bw. Eric Bunono akitofautisha kati ya m...
08 - Mtazamo wa Afya ya Akili Jeshini ft Owden Kyambile 03.03.2023 40:09
Binadamu wote huishi kwa kufanya kazi. Kazi zipo za aina mbalimbali na kila kazi ina umuhimu wa peke yake katika ustawi wa jamii. Kazi pekee inayotia hofu au kuleta upweke kwa binadamu, na inayoweza kuondoa uhai wa binadamu ni ya Jeshi la Mapigano. Viapo vya wanajeshi hufanywa kwa niaba ya Amiri Jeshi Mkuu na ambaye pia ni Raisi wa nchi. Hii ina maanisha, dhamana ya wanajeshi kiutendaji ni k...
07 - Experiencing Grief ft Ms. Subira Mollel 24.02.2023 18:39
Grief has its roots in the Latin "gravis" which roughly translates to a "heavy burden". Grief can be experienced by anyone regardless of education level, economic status, birth order ethnicity, or even social status. Most people are not able to overcome their grief because they actively try to cling to what was lost as a result, a person's mental health becomes at stake. Please tune in as I have a...
06 - Going through an Identity Crisis 17.02.2023 43:34
According to the research done by Jacqueline Amani, (2016) shows that there is a significant relationship between factors that motivates students to choose their degree programs and their intention to join their professions in the future. Most of the time, parents affect the career plans of their children creating a dissonant cognition that hurts the psychological well-being of their children. Joi...
05 - Mgogoro wa Utambulisho | Identity Crisis ft. Mathias Masaka 11.02.2023 20:13
Watu hupata utambulisho wao kutokana na mambo mengi...inaweza kuwa kile wanachomiliki, maadili au imani zao. Utambulisho (Identity) sio mada mpya, ni mada ambayo ni maarufu sana kwa sababu ina athari kubwa katika maisha yetu. Tafadhali sikiliza jinsi Bw. Mathias Masaka, ambaye ni mwanasaikolojia wa kijamii (social psychologist) na mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipokuwa akizung...
04 - Battling Suicidal Thoughts 02.02.2023 29:47
Parental Influence, academics, and betrayal, all paved a way for a female young adult to have suicidal thoughts. Having gone through a period of her life where she lost her sense of self and where her constant prayer was to have peace of mind...she finally was able to beat suicidal thoughts and heal by seeking professional help, embracing her sense of humor and support from friends. Please tune in...
03 - Suicidal Ideation | Mawazo ya Kusitisha Uhai ft Sweet Bazily 26.01.2023 37:56
Je, unajua kwamba ujuzi mzuri wa kutatua matatizo na kufanya maamuzi ni muhimu katika kushinda mawazo ya kujiua? Suicide has been one of the most reported cases by the police in Tanzania, whereby it has threatened a lot of people's well-being. In this episode featuring Ms. Sweet Bazily, who is an occupational therapist, she will be illuminating us on suicidal ideation and how it differs from...
02 - Bridging the Gap ft Barnabas Nkinga 19.01.2023 35:57
Did you know that having mental health challenges does not mean that you are mentally ill? Ni mara nyingi watu wamekua wakichanganya utumiaji wa maneno haya matatu; changamoto ya afya ya akili, matatizo ya afya ya akili na ugonjwa wa akili. Ungana nami nikiwa pamoja na Mwanasaikolojia, Bw. Barnabas Nkinga akitofautisha haya maneno na kutuelezea zaidi kuhusu umuhimu wa kuwa na rasilimali za kupamba...
01 - The Genesis of Mental Health Awareness in Tanzania ft Deogratius Ramale 14.01.2023 16:14
How often do you check your mental health? Do you even check your mental health? Meet Mr. Deogratius Ramale, who is a psychologist as he insists on mental health checks and as he illuminates to us the situation of mental health in Tanzania for the last few years and how far we've reached in terms of awareness and service provision.
Mental Glow Trailer 13.01.2023 1:00
Mental Glow is a podcast that is meant to educate, motivate, and inspire you to nurture and transform your mental well-being for the better. Meet Jacqueline Owden, as she has momentous conversations with different experts on matters related to mental health that will help you to glow mentally. "The sole purpose of human experience is to kindle a light in the darkness of mere being.” –Ca...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.