King Kadhi

King Kadhi's podcast

Education EN ↓ 18 episodes

Author

King Kadhi

Category

Education

Podcast website

www.spreaker.com

Latest episode

Jun 23, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Wako Wapi Waliomaliza Chuo Kabla Yako? | Me & The Graduates Podcast 🎓 23.06.2026

Siku ya graduation inajaa vigelegele na matumaini, lakini sherehe ikiisha, uhalisia wa mtaani huanza. Katika kipindi hiki cha Me & The Graduates Podcast, tunajiuliza swali moja gumu: Wako wapi wale ma-senior waliomaliza chuo miaka mitano iliyopita kabla yako? Wanaishije na wanafanya nini mtaani? ​Huu ni mjadala wa wazi unaolenga kuwaandaa wanachuo kisaikolojia kabla hawajavuka geti la chuo, na...

Adui Anayewatesa Graduates Kimya Kimya | Me & The Graduates Podcast 18.06.2026

Je, cheti chako ni daraja la mafanikio au kikwazo kisichoonekana? Katika video hii tunazungumzia adui anayewatesa graduates wengi kimya kimya: kiburi cha cheti na aibu ya kuanza chini. Utajifunza kwa nini baadhi ya wahitimu hukosa fursa, jinsi ya kubadili mindset, na namna ya kutumia elimu yako kuongeza thamani popote ulipo. Usikose somo hili muhimu kwa kila graduate anayepambana kutafuta mwelekeo...

NJIA 8 ZA KUPATA UZOEFU NJE YA AJIRA RASMI | Graduates Must Know | Me & The Graduates Podcast 🎓 12.06.2026

Je, umewahi kukosa kuomba kazi kwa sababu tangazo lilihitaji uzoefu wa miaka 3 au zaidi? Kama ndiyo, basi episode hii ni kwa ajili yako. Wahitimu wengi hujikuta kwenye mzunguko wa kutaka kazi lakini wanakosa uzoefu, huku waajiri wakitaka uzoefu kabla ya kutoa nafasi ya kazi. Habari njema ni kwamba uzoefu haupatikani kupitia ajira rasmi pekee. Unaweza kuujenga mwenyewe na kuutumia kujiongezea thama...

Kwani Kampuni Hazitaki Kuajiri Graduates? | Me & The Graduates Podcast 🎓 08.06.2026

Kila siku graduates wanalalamika hakuna ajira… lakini upande mwingine kampuni nazo zinalalamika kwamba graduates wengi hawapo tayari kwa dunia ya kazi. Sasa tatizo ni nini hasa? 🤔 Kwenye episode hii tumezungumzia: ✅ Kwanini kampuni nyingi haziridhiki na graduates ✅ Gap kati ya elimu na soko la ajira ✅ Skills ambazo graduates wengi wanakosa ✅ Umuhimu wa communication, initiative na practical e...

Watu Gani Wanatakiwa Kuwa Kwenye Network Yako Ukiwa Chuoni au Baada ya Kumaliza? | Me & The Graduates Podcast 🎓 05.06.2026

Watu wengi wanafocus kupata degree… lakini wanasahau kitu muhimu sana — watu unaokaa nao wanaweza kuamua speed ya maisha yako kuliko hata elimu yako. Kwenye episode hii ya Me & The Graduates Podcast, tumezungumzia:✅ Watu wenye malengo✅ Watu wa action✅ Wenye ujuzi✅ Wenye maono makubwa✅ Mentors wanaoweza kubadilisha direction ya maisha yako Kwa sababu mwisho wa siku, network yako siyo tu ma...

Tumia Elimu Yako Kupata Pesa | Me & The Graduates Podcast 🎓 03.06.2026

Wahitimu wengi wanafikiri mpaka wapate ajira rasmi ndiyo waanze kupata pesa… Lakini ukweli ni kwamba unaweza kutumia skills ulizopata chuoni kuanza kujitengenezea income hata kabla ya kuajiriwa. 📌 Leo tunazungumza kuhusu: ✅ Jinsi ya kutumia elimu yako kutengeneza value ✅ Kwa nini dunia ya sasa inalipa skills kuliko vyeti ✅ Namna ya kuanza na kile ulichonacho ✅ Kwa nini usisubiri mazingira per...

Baada ya kuthibitisha unaweza.. Jua thamani yako kazni | Me & The Graduates 🎓 23.05.2026

Baada ya kuthibitisha unaweza kupitia internship, volunteering au experience… hatua inayofuata ni kujua thamani yako. Graduate wengi wana uwezo mkubwa lakini bado wanaishi kwa hofu ya kuonekana hawajafika. Leo tunazungumza kuhusu: ✅ Experience kama mwanzo wa safari ✅ Kwa nini interns wengi wanajidharau ✅ Kujenga confidence baada ya kuthibitisha uwezo wako ✅ Kutambua value unayoleta kwenye kazi...

Unataka Kazi Bila Experience? Ukweli Unaosahaulika na Wahitimu Wengi | Me & The Graduates Podcast 17.05.2026

Umemaliza chuo. Lakini bado hakuna kazi, huna mshahara wala hakuna kinachoonekana kwenda mbele. WHY? Katika episode hii, tunaongea ukweli mgumu — lakini muhimu sana — ambao wahitimu wengi hawapendi kusikia: ✅ Eperience inaongea zaidi ya degree yako ✅ Tatizo la ego linalowazuia wahitimu kusonga mbele ✅ Jinsi ya kuanza chini bila kujisikia umeshindwa ✅ Hatua ndogo zinazobeba future kubwa Ukweli...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelimika || ME & THE GRADUATES 13.05.2026

Watu wengi wana vyeti… lakini bado wanapambana kufanya maamuzi sahihi ya maisha. Na wengine hawakusoma sana, lakini wana uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na kujenga maisha yao. Je, elimu ya kweli ni nini? 🤔 Episode ya leo kwenye Me & The Graduates inaenda kufungua macho yako kuhusu tofauti ya “kusoma” na “kuelimika”. 🎧 Sikiliza mpaka mwisho… unaweza ukajiona ndani yake. #MeAndTheGraduates #P...

USIJILINGANISHE NA WATU WENGI || ME & THE GRADUATES 06.05.2026

Watu wengi hupoteza amani yao si kwa sababu maisha ni magumu sana… bali kwa sababu wanajilinganisha na mafanikio ya watu wengine. Katika episode hii ya Me & The Graduates, tunazungumza ukweli ambao mara nyingi huwa mgumu kuukubali lakini ni muhimu sana: 👉 Kwa nini unajikuta unajilinganisha na watu ambao safari zao ni tofauti kabisa na yako? 👉 Kwa nini unajihukumu kwa matokeo ambayo bado hata...

Chuo Kinakuandaa Kuajiriwa… Lakini Mtaani Ni Vita Nyingine! || ME & THE GRADUATES 27.04.2026

Watu wengi tunaingia chuo tukiamini kitu kimoja—ukisoma kwa bidii, ukapata degree, maisha yatakuwa sawa. Lakini baada ya kuhitimu… reality inakuwa tofauti kabisa. Katika video hii, tunazungumza ukweli ambao wengi hawasemi: ✔️ Kwa nini wahitimu wengi hawapati ajira ✔️ Tofauti kati ya mindset ya mwajiriwa na mjasiriamali ✔️ Sababu inayokufanya ubaki kusubiri bila mafanikio ✔️ Nini cha kufanya ili ku...

Nilisoma lakini sina ajira – sasa nifanye nini? || ME & THE GRADUATES 12.04.2025

Nimesoma lakini sina ajira – nifanye nini? Ni swali linalowasumbua wahitimu wengi kila siku. Katika episode ya pili ya Me & The Graduates, tunazungumza kwa kina na wahitimu wanaopambana na hali halisi ya kukosa ajira, licha ya elimu yao. Wanafanya nini? Wanakabiliana vipi na presha ya maisha? Na wana ndoto gani mbele? Usikose kusikiliza simulizi hizi halisi za vijana waliokataa kukata tamaa –...

Kesho Yako Iko Mikononi Mwako || ME & THE GRADUATES 06.04.2025

"Kesho Yako Iko Mikononi Mwako!" Usisubiri muujiza – kuwa muujiza. Anza leo kujenga kesho unayoitaka. Uamuzi, juhudi, na imani yako vinaweza kuandika historia mpya ya maisha yako. #MeAndTheGraduates #Motivation #Inspiration #KeshoYako #HustleJourney

MASTA REDIONI 15.07.2023 14.07.2023

THE HEADIES AWARDS | SIMBA | RAYVANNY | ZUCHU | BURNA BOY | ASAKÉ | LIL BABY NA NICKI MINAJ | IS ALL A BLUR TOUR

MASTA REDIONI 08.07.2023 08.07.2023

Amapiano Chino Kid ft. Fid Q | Ujumbe Mzito wa Diamond Kuenda kwa Mama Dangote | Grammy Nomination & Awards | Meek Mill | New Jersey Advocate.

MASTA REDIONI 01.07.2023 30.06.2023

Anita Brown vs Davido | The Return of Diamond Platnumz | Hollywood Walk of Fame 2024 | New King Tommy Flavor | Madonna kutoka ICU | Ningejiua katika Maisha Na Muziki

EPISODE 2 (PASAKA 2023) 08.04.2023

MBOSSO KHAN AWAPAKA TMA ROMA MKATOLIKI NA WASHAMBA DRAKE COLLABO YA PAMOJA NA SAUTISOL PLATNUMZ NA MABANTU X S2KEEZY AKON NA TWITTER BLACK CHYNA NDANI YA BAPS

MASTA REDION EP1 08.04.2023

√Rayvany atangaza video ya mamiliono √Harmonize na Jay Melody wanajambo lao √Kontawa na 2pac √Davido aweka records na Timeless Album

Listen to the King Kadhi's podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.