Ikulu Mawasiliano

Ikulu Tanzania

News EN ↓ 17 episodes

This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan 

Author

Ikulu Mawasiliano

Category

News

Podcast website

www.buzzsprout.com

Latest episode

Jun 12, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) 12.06.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKISHIRIKI KATIKA JUKWAA LA 29 LA KIMATAIFA LA UCHUMI LA ST. PETERSBURG (SPIEF 2026) 06.06.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg, (SPIEF 2026), Urusi, tarehe 5 Juni, 2026

HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA URUSI 05.06.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ashiriki katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, St. Petersburg, tarehe 5 Juni, 2026

HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU 04.06.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIHITIMISHA MAFUNZO YA MAAFISA NA WAKAGUZI WASAIDIZI WA POLISI KOZI NA. 1/2025/2026 31.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi, Kurasini, Da es Salaam tarehe 28 Mei, 2026.

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIWAAPISHA MAJAJI WATEULE WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU DAR ES SALAAM, TAREHE 26 MEI, 2026 26.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji Wateule wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 26 Mei, 2026 

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI KUHUSU UVUMBUZI WA NISHATI YA NYUKLIA BARANI AFRIKA 19.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA) Kigali, Rwanda tarehe 19 Mei, 2026

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI YA JUU NA UONGOZI DARAJA LA PILI KOZI 2025/26 13.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei, 2026

HOTUBA YA MHE RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIMUAPISHA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, AJIRA NA MAHUSIANO) 13.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, katika hafla iliyofanyika tarehe 06 Mei, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA ZIRA YA MHE. RAIS RUTO 07.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa Ziara ya Rais Mhe. Ruto nchini Tanzania

HOTUBA YA MHE. RAIS RUTO WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA 07.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Ruto akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa ziara yake nchini Tanzania

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA ZIARA YA KIKAZI YA MHE. KAGAME RAIS WA RWANDA 04.05.2026

Ziara ya Kikazi ya Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda

HOTUBA YA MHE. KAGAME RAIS WA RWANDA WAKATI WA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI 04.05.2026

Ziara ya Kikazi ya Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA MELI YA KWANZA YA UVUVI WA BAHARI KUU 03.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), tarehe 25 Aprili, 2026, Kigamboni, Dar es Salaam.

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI MKOANI NJOMBE 03.05.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani  inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, tarehe 1 Mei, 2026

HOTUBA YA JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMMED OTHMAN CHANDE WAKATI AKIWASILISHA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025 24.04.2026

Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025,

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025 23.04.2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 

Listen to the Ikulu Tanzania podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.