Evarist Chahali

Chahali Podcast

News EN ↓ 100 episodes

Maongezi ya Chahali www.baruayachahali.com

Author

Evarist Chahali

Category

News

Podcast website

www.baruayachahali.com

Latest episode

Nov 21, 2025

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Jicho La Kiintelijensia Kwenye Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia 02.04.2021

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli 28.03.2021

Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala 25.03.2021

Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mjadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais 24.03.2021

Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa 20.03.2021

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021 18.03.2021

Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa 16.03.2021

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba 14.03.2021

Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani 13.03.2021

Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

#BreakingNews: Rais Magufuli Afariki Dunia 12.03.2021

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba. Get full access to Barua Ya Chahal...

Jiwe: Yu Hai Au Ameshavuta? 11.03.2021

Jiwe mzima au kavuta? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona 11.03.2021

Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

"Paka Mwenye Roho Tisa" ( a Proverbial Cat With Nine Lives) 08.03.2021

Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

#JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 Za Muhimu Maishani 05.03.2021

Kuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

#SikuYaKitabuDuniani: Jasusi Wako Ambaye Ameshachapisha Vitabu 12 Anaeleza Jinsi Ya Kuandika Kitabu 04.03.2021

Katika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Heri Ya Mwezi Mpya Wa Machi: Fahamu Mbinu Hii Kila Uanzapo Wakati (Saa/Siku/Wiki/Mwezi/Mwaka) Mpya 01.03.2021

Mbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni. Get full access to B...

Jinsi Wema Unavyoweza Kuzaa Majanga: Mfano Hai Kutoka Tukio Moja La Maisha Yangu Huko Kitengoni 26.02.2021

Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Leo Ni Miaka Mitatu Kamili Tangu Haramia Musiba Anitaje Mie Na Wenzangu Kadhaa Kuwa WATU HATARI 25.02.2021

Tarehe 25.02.2018, siku kama ya leo, miaka mitatu iliyopita, mbwa wa Magufuli, haramia Musiba, alinituhumu jasusi wako na watu wengine kadhaa kuwa ni WATU HATARI kwa usalama wa taifa, na kudai tulikuwa tukitumiwa na FBI kutaka kumpindua Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Twitter Mbioni Kuanzisha Utaratibu Wa Kulipia Twiti, DMs Zenye Sauti 25.02.2021

Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana 24.02.2021

Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa 21.02.2021

Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine 21.02.2021

Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania 20.02.2021

Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

S01E02: Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii 19.02.2021

Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

S01E01: Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii 19.02.2021

Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Listen to the Chahali Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.