Evarist Chahali
Chahali Podcast
Maongezi ya Chahali www.baruayachahali.com
Author
Evarist Chahali
Category
Podcast website
Latest episode
Nov 21, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Video ya Ripoti Maalum ya CNN Kuhusu Mauaji ya MAELFU Nchini Tanzania [Tahadhari: Inaumiza Mno!] 21.11.2025 5:05
Kituo cha runinga cha kimataifa cha CNN kimechapisha ripoti kamili ya mauaji yaliyofanywa na Samia Suluhu Hassan kuanzia Oktoba 29 mwaka huu hadi sasa. Tahadhari ni kwamba video husika INATISHA, INASIKITISHA na INATIA HASIRA. MENGINEYO Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Mbunge Ajigamba Kuwa Yeye ni Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Atamfanyia Umafia Yeyote Atakayegusa Jimbo Lake 16.05.2025 5:58
Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu Kuwania Urais Katika Uchaguzi Mkuu 2025 01.02.2025 10:00
Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania urais, japo hajatamka tena baada ya kushinda uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani. Otherwise...
S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William 19.08.2024 33:44
S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William Charles anajibu maswali haya 1. Charles William ni nani 2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari 3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa 4. Wewe sio tu ni mmoja ya watangazaji maarufu Tanzania bali ni mmoja wa watu maarufu Tanzania. Je zipi ni faida za umaarufu...
S02E03: Uchambuzi Kuhusu Kuuawa Haniyeh Huko Irani, Vurugu Kubwa Uingereza 04.08.2024 10:00
S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi 28.07.2024 13:37
S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
S02 E01: Uzinduzi 28.07.2024 5:00
Uzinduzi wa Season 02 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Uchambuzi Kuhusu Mabadiliko Baraza la Mawaziri 22.07.2024 11:00
Uchambuzi mfupi kuhusu mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa Julai 21, 2024 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Uchambuzi Kuhusu Jaribio la Mauaji Dhidi ya Donald Trump 15.07.2024 9:01
1. Kilichojiri 2. Mhusika 3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela 4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 2021 5. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats 6. Biden hahusiki lakini haijalishi alimradi watu wanaamini hivyo 7. Shinikizo dhidi ya Biden ajiondoe kuwania urais kama kisingiz...
Uhusiano Kati Ya Ujasusi na Kusulubiwa kwa Bwana Yesu Kristo 29.03.2024 5:00
Makala hii fupi inakufahamisha kuhusu uhusiano kati ya intelijensia hususan ujasusi na Juma Kuu, hususan Jumatano Kuu ambayo pia hufahamika kama Jumatano ya Kijasusi (Spy Wednesday). Kadhalika, makala inamwangalia Yuda Iskariote kama pandikizi aliyemsaliti Bwana Yesu Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM 17.03.2024 3:22
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" 🤔 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi 06.02.2024 4:20
Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI 09.12.2023 10:00
Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani 07.08.2023 7:00
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E04: Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani 07.08.2023 8:00
Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E03: Tabia 14 Zinavyokwamisha Maendeleo ya Mtu 17.07.2023 7:10
Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E02: Vitu 15 Rahisi Kabisa Vya Kukuwezesha Kuwa Mtu Bora 29.06.2023 6:07
Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development". Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E01: Jiulize "Mimi ni nani"? 17.06.2023 3:10
"Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari 11.06.2023 10:00
Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua? 16.03.2023 10:10
Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania 08.03.2023 5:07
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Happy Mother's Day 08.05.2022 5:08
Happy Mother's Day Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha Magufuli... kilichofuata sintokisahau maishani 11.03.2022 8:10
Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa kwanza kutangaza kifo hicho. Lakini madhila yaliyonikumba baada ya kuweka taarifa hiyo hadharani, sintoyasah...
Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions) 02.01.2022 10:05
Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022 25.12.2021 1:20
#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.