BAZEYETU SHOW
BAZE YETU's podcast
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
COST OF LIVING AND GIRL CHILD IN MARRIAGE.mp3 27.12.2025 46:15
Stay locked manake nko na two Comedians yusir na mustafa tukipiga show bila filters
CHIPUKIZI HITS EPISODE2.mp3 26.12.2025 58:55
Friday ndio hii na Episode 2 ya Chipukizi Hits imetua! 📻🔥 Check out Official Top 10 Ranking yetu—kutoka kwa MC Bosco namba 1 mpaka kwa Haiba namba 10. Leo tuna mgeni maalum studio, Pocker Rhymes, mchizi anayetesa na 'Tapo Tapo' na 'KWA NiNi!'. Shukrani kwa kila mmoja aliyepiga kura. Endelea ku-stream playlist yetu Spotify na nitumie hits zako WhatsApp sasa hivi! 📲✨ #BazeyetuShow #ChipukiziH...
POCKER RHYMES STUDIO INTERVIEW.mp3 25.12.2025 39:28
Karibuni kwenye baze ya ukweli! Katika episode hii ya leo, MC Tawai anamkaribisha fundi wa mitambo, Pocker Rhymes (aka Pocker Bwoy), ndani ya studio. 🎙️ Tunaingia ndani kabisa kuchambua safari yake ya muziki—kuanzia mwanzo wa 'Chora Saba', vibe la 'Tapo Tapo', hadi ujumbe mzito wa 'KWA NiNi!' na ujasiri wa 'Hamniwezi'. 💿 Pocker anafunguka kuhusu changamoto za wasanii chipukizi mtaani na kutoa fr...
CHIPUKIZI HITS SPECIAL na MC TAWAI! 🎙️🔥 21.12.2025 39:57
Leo ndani ya Baze Yetu, tunazima taa na kuwasha moto wa talanta! 🚨 Ni usiku maalum wa kusupport damu changu na mastaa wa kesho. MC Tawai atakuwa LIVE akichambua ngoma 8 kali kutoka kwa wasanii chipukizi ambao wanatikisa mtaa kwa sasa. Tutakuwa na uchambuzi wa kina, maoni kutoka kwenu mashabiki, na kila ngoma itapewa heshima yake segment kwa segment. Usikose kusikia story ya fare, harakati za kus...
Nairobi Secrets: Vile Ground Huoshwa (Scams, Mchele & CBD Conmen) 🇰🇪 20.12.2025 38:30
Nairobi ni shamba la mawe! Leo kwa Baze Yetu Show, MC Tawai anafichua siri nzito za mtaa. Kuanzia wasee wa 'Pata Potea' CBD, hadi warembo wa 'Mchele' klabu na scams za M-Pesa. Sikiza usiooshwe mjini!"#BazeYetuShow #MCTawai #NairobiSecrets #NairobiScams #CrimeAndScams #SpotifyKenya #Spreaker #StreetIntelligence #NairobiLife #OshwaMjini #KenyaPodcasts #SurvivalSkills
MAISHA YA BEDSEATER MC TAWAI.mp3 19.12.2025 33:24
Maisha ya Bedsitter: Struggles People Don’t Talk About 🏠 Freedom iko… lakini bills ziko pia 😅 Kukaa peke yako, tokens, rent, loneliness na pressure ya kuonekana “umeomoka”. Kama unaishi bedsitter ama uliwahi ishi, hii episode itaku-hit. 🎧 Sikiliza sasa – Bazeyetu Podcast 🎙️ Hosted by MC Tawai #BazeyetuPodcast #BedsitterLife #AdultingKE #RealLifeStories #KenyanPodcast #LifeInBedsitter #HustleLif...
Episode 11 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
Mental health amongst youth
Episode 10 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
Mbona hupendi kuleta your relative kwako especially ukiwa kwa marriage?
Episode 9 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
Did money kill true love ungana na mc tawai tuivunje mpaka chini
Episode 8 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
Money and hustle moves
Episode 7 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
Umewai gongewa? Mc tawai anaivunja mpaka chini
Episode 6 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:00
Je mastingo huchangia kwa strong relationship ungana na mc tawai tuivunje mpaka chini
Episode 5 - BAZE YETU's podcast 18.12.2025 15:01
IS DATING A SCAM? ungana mc tawai tuchambue mpaka chini
LOVE AND RELATIONSHIP EPISODE 2 18.12.2025 15:01
Nini umewai fanya kwa relationship ukaregret?
Episode 3 - BAZE YETU's podcastKaribu kwenye kipindi kingine cha Baze Digest na mwenyeji wako MC Tawai, tukichambua dunia ya mahusiano k 16.11.2025 15:01
Karibu kwenye kipindi kingine cha Baze Digest na mwenyeji wako MC Tawai, Hosted by MC Tawai a.k.a The Noisemaker.
Episode 2 - BAZE YETU's podcast.Mapenzi ya Kidijitali: Ukweli, Uongo na Experiences za Online Dating 2025” 16.11.2025 15:01
Karibu kwenye kipindi kingine cha Baze Digest na mwenyeji wako MC Tawai, tukichambua dunia ya mahusiano katika karne ya 21—mahali penzi limehamia kwenye apps, DM, algorithm na trend za mtandaoni. Katika episode hii tunazungumzia kwa undani mapenzi ya kidijitali, jinsi social media imebadilisha mahusiano, na experiences za vijana wanaojaribu kutafuta love kwenye online dating apps kama Tinder, Bado...
CHIL VIBE SUNDAY BY MC TAWAI.mp3 26.10.2025 18:24
Karibu kwenye wasaa mwingine wa mazungumzo halisi! Huu ndo muda wa kufunguka bila brakes! BAZE YETU — powered by The Noisemaker, MC Tawai!”
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.