RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

Society SW ↓ 36 episodi

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Visita il sito del podcast e sostieni chi lo crea: www.rfi.fr

Autore

RFI Kiswahili

Categoria

Society

Sito del podcast

www.rfi.fr

Ultimo episodio

18 ott 2026

Dove ascoltare?

I podcast nell'app Replaio Radio In arrivo

I podcast stanno per arrivare nell'app. Installala ora e scopri per primo un modo tutto nuovo di vivere i podcast

Scaricala su Google Play Installala gratis Android 10 mln+ di download · valutazione 4,7+ iOS in arrivo

Episodi

Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8 08.03.2026

Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako  Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus. Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilali https://www.facebook.com/billy.bilali.9

Changu Chako Chako Changu ukumbusho wa mizinga ya kale huko lamu Feb 15 2026 05.03.2026

Makala haya mtangazaji Benson Wakoli alipata nafasi ya kutembelea county ya Lamu Pwani ya Kenya kuangazia kuhusu mizinga iliotumika zama za ukoloni. utapta pia kumsikiliza msanii kutoka nchini Burundi Baino. Kumbuka pia kunifuata @billy bilali

Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026 02.03.2026

Katika safari yangu huko Mombasa, nimekutana na vijana kwenye tasnia ya Filamu na kufanya nao mazungumzo kuhusu tasnia hii namna inavyopiga hatuwa pamoja na chamgamoto zake. Kumbuka kutufualia @billy bilali

Changu chako chako changu siku ya mashujaa nchini DRC 02.03.2026

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakukumbusha historia ya mashujaa nchini DRC 

Changu Chako Chako Changu Historia na tamaduni za wabajuni march 1 2026 01.03.2026

Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii nakuletea Historia na tamaduni mbalimbali za watu wa kabila la wabajuni, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Maud Elka kutoka Ufaransa mwenye asili ya Congo.   Watu wa Wabajuni  ni kabila la Wabantu wanaoishi hasa katika jiji la Mombasa nchini Kenya. Wengi walihama kutoka kusini mwa Somalia hadi Kenya kutokana na vita na ukoo wa...

Changu ChakO chako Changu waigizaji kutoka Mombasa wachangamkia fursa sehemu ya pili 28.02.2026

Waigizaji wa filamu kutoka nchini Mombasa wachangamkia fursa kwa kuwezeshwa na kituo cha utamaduni wa Ufaransa Allaince Francaise ya Mombasa. Huyu hapa ni Lina Sande mmoja wapo tuliekutana naye katika ziara yetu huko Mombasa. Kumbuka pia kunifuata kwa kubonyeza hapa @billy bilali

Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026 22.02.2026

Karibu katika Makala haya Changu chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo tumejikita zaidi katika swala la kujifunza lugha za kigeni kama Fursa. Nitakuletea pia mwanamuziki kutoka Mombasa Chikuzee, Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, nikukatibishe Karibu. Ama Bienvenue.  Nifuate pia @billy bilali

Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026 04.01.2026

Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu. 

Salam za mwisho wa mwaka kutoka kwa waskilizaji wapenzi wa makala Changu Chako Dec 28 28.12.2025

Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa waskilizaji ktoa salam za mwisho wa mwaka 2025  

Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025 21.12.2025

Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienv...

Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025 14.12.2025

Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.

Ascolta il podcast Changu Chako, Chako Changu su Replaio

Radio e podcast in un'unica app - gratis e senza registrazione. Installala oggi e non perderti il lancio

Scaricala su Google Play

Replaio non è un editore di podcast; i nomi dei programmi, le copertine e l'audio appartengono ai rispettivi autori e vengono distribuiti tramite feed RSS pubblici