Edward N. Nnko

Kisima cha Simulizi

Kisima cha Simulizi ni show ya kipekee inayokualika kuzama ndani ya ulimwengu wa hadithi zenye kusisimua, mafundisho, na burudani ya hali ya juu. Ni kwa lugha tamu na adhimu ya Kiswahili. Kila simulizi ni safari; safari ya hisia, fikra, na ubunifu unaokuvuta hadi mwisho wake. Kuanzia visa vya kusisimua, hekaya za kuvutia, hadi simulizi za maisha halisi. Ni kutoka katika kisima hiki ndipo unapoweza kuchota hazina ya maneno yenye nguvu, hisia na mvuto. Jiunge na Kisima cha Simulizi ujipatie dozi ya hadithi zitakazokuburudisha, kukuelimisha, na kukuacha ukitamani zaidi.

Auteur

Edward N. Nnko

Catégorie

Fiction

Dernier épisode

4 juin 2026

Où écouter ?

Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponible

Les podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts

Télécharger sur Google Play Installe-la gratuitement Android 5 M+ de téléchargements · note de 4,8 iOS bientôt

Épisodes

Chozi la Doreen Episode 8 04.06.2026

Karibu tena mpendwa msikilizaji katika simulizi hii ya kusisimua

Chozi la Doreen Episode 7 27.05.2026

Karibuni sana tuendelee kufuatilia simulizi hii ya kusisimua.

Chozi la Doreen Episode 6 15.05.2026

Karibu sana Katika Episode hii ya sita, ambapo sasa Doreen anaanza rasmi maisha ya changamoto

Chozi la Doreen Episode 5 08.05.2026

Karibu sana Msikilizaji Mpenzi tuendelee kuburudika na sehemu hii ya 5

Chozi la Doreen Episode 4 30.04.2026

Karibuni sana tuendelee na hadithi hii ya kusisimua. Sasa wazazi wa Doreen wameanza kufuatilia nyendo zake ....

Chozi la Doreen Episode 3 25.04.2026

Karibu sana tuendelee kuburudika na hadithi hii ya kusisimua katika sehemu hii ya tatu.

Chozi la Doreen Episode 2 23.04.2026

Karibu sana uendelee kuburudika na hadithi hii ya kusisimua. Hapa utapata kujua chanzo cha hali ya Doreen katika sehemu iliyopita. 

Chozi la Dora Episode 1 21.04.2026

Karibuni sana. Kwa maswali au maoni, wasiliana nasi kwa +255755906376 kwa kutuma ujumbe au "WhatsApp"

Écoute le podcast Kisima cha Simulizi sur Replaio

La radio et les podcasts dans une seule appli - gratuite, sans inscription. Installe-la dès aujourd'hui et ne rate pas le lancement

Télécharger sur Google Play

Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics