Exavery Nduye
Exavery Nduye
The word of encouragement
Auteur
Exavery Nduye
Catégorie
Site du podcast
Dernier épisode
11 mai 2026
Où écouter ?
Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponibleLes podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts
Épisodes
I AM MORE THAN A CONQUERORS 11.05.2026 33:46
Warumi 8:37 [37]Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
MAOMBI KWA AJILI YA WANAFUNZI 18.11.2025 8:54
Zaburi 119:99-100 [99]Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote, Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo. [100]Ninao ufahamu kuliko wazee, Kwa kuwa nimeyashika mausia yako.
KUKESHA KATIKA MAOMBI.m4a 23.09.2025 15:31
Maombi siyo swala la siku moja, Bali ni jambo ambalo unapaswa kulifanya Kila siku, Kila wakati, Kila mara. Luka 18:1 [1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.
KIJANA SAFI KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI.m4a 23.09.2025 1:06:56
Kijana wa Kizazi hiki ili maisha yako yako yawe salama unapaswa kuongozwa na neno la Mungu. Zaburi 119:9-11 [9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. [10]Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. [11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
MAOMBI KWA AJILI YA MAISHA YETU.m4a 21.09.2025 48:23
Yeremia 29:12 [12]Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Then shall ye call upon me, and ye shall go and pray unto me, and I will hearken unto you. Mungu anatarajia kwamba tutamwendea Kwa njia ya maombi, tunapochukua hatua ya kuomba, yeye yupo tayari kutusikiliza, hivyo chukua hatua ya kuomba Sasa naye(MUNGU) atakujibu.
MKRISTO MWENYE AFYA.m4a 20.09.2025 49:16
Kama vile mwili ulivyo na mahitaji yake mbalimbali ili uweze kustawi na kuwa na afya bora, ndivyo roho yako ilivyo na mahitaji yake ambayo yakipatikana yatasababisha roho yako iwe na afya nzuri. Karibu ujifunze pamoja nani.
UHURU KAMILI1.m4a 13.06.2025 54:56
Yohana 8:36 [36]Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
NAMNA YA KUUWEZA MWILI.m4a 11.06.2025 51:03
1 Wathesalonike 4:4 [4]kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima;
Worship. 15.09.2024 2:47
Ni baraka na jambo jema sana kuhudumu pamoja na mwenza wako. Kama Mungu amewapa vipawa na huduma basi vitumike Kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
MAHUBIRI 30.6.2024 EAGT IGUGUNO 04.07.2024 34:25
Ili uweze kuona matokeo kwenye kile ambacho unakifanya, unahitaji msaada kutoka Kwa Mungu.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 1 22.05.2024 15:01
Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2 22.05.2024 10:56
Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
KUISIKIZISHA SAUTI MBELE ZA BWANA 14.01.2022 11:13
Mungu ametupatia nafasi ya kwenda mbele zake na kusema naye Kwa njia ya maombi. Unapofunga, huo ni wakati mzuri wa kukaa kwenye utulivu na kuzungumza na Mungu.
UMUHIMI WA NENO WAKATI WA MFUNGO 11.01.2022 11:44
Neo la Mungu ni muhimu sana Kwa mtu ambaye yupo kwenye mfungo, Kwa sababu lina uwezo wa kukusaidia kugundu hila za adui na kukuwezesha kuzishinda
LENGO LA MAOMBI YA KUFUNGA 10.01.2022 14:30
Kuna tofauti kati ya kufunga na kushinda njaa, kufunga ni jambo la kiroho, na lengo la kufunga hupaswa kuwa Kwa ajili ya kuleta matokeo ya Kiroho
Episode 13 - JITOFAUTISHE 04.01.2022 15:01
Maisha yako hayapaswi kufanya na watu wengine Kwa sababu Mungu alikuumba Kwa namna ya pekee na akakuwekea kusudi tofauti, hivyo kuishi kama wengine wanavyoishi ni kujaribu kufanya vitu ambavyo haviendani na kusudi la kuumbwa kwako. Karibu ujifinze.
NAMNA YA KUKABILIANA NA HOFU 03.07.2021 43:39
Watu wengi wameshindwa kufanikisha Mambo mbalimbali katika maisha yao kutokana na hofu iliyojengeka ndani yao. Kupitia ujumbe huu wa namna ya kukabiliana na hofu, utajifunza namna sahihi ya kibiblia ambayo itakusaidia kukabiliana na hofu katika maisha yako.
UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI 13.04.2021 44:19
Kila mtu ambaye amemwamini Yesu Kristo Kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake anapaswa kulisoma neno (Biblia) Kila wakati kwa sababu upo umuhimu wa kufanya hivyo. KARIBU usikilize mahubiri haya naamini yatakusaidia. Ujumbe huu ulihubiriwa Tar 7/4/2021 katika kanisa la HOUSE OF CHRIST-JIJINI MWANZA
RUTHU 3:1-18 04.10.2020 18:26
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 3:1-18
RUTHU 4:1-22 03.10.2020 23:11
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 4:1-22
RUTHU 3:1-18 03.10.2020 2:41
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 3:1-18
RUTHU 2:1-23 01.10.2020 22:25
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 2:1-23
RUTHU 1:1-22 30.09.2020 25:35
KARIBU tuweze kujifunza pamoja kitabu Cha RUTHU 1:1-22.
Podcasts similaires
Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics