RFI Kiswahili
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
N'hésitez pas à visiter le site du podcast et à soutenir son créateur : www.rfi.fr
Où écouter ?
Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponibleLes podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts
Épisodes
Changu chako chako changu, utamaduni wa baraza la wazee wa Kijaluo Oct 18 2026 18.10.2026 20:04
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili, changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya baraza la wazee wa kabila la wajaluo, na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba ya shughuli mbalimbali kwenye vituo vya Alliance Francaise, na tutahitimisha na burudani ya Muziki. Mimi ni Al...
Alliance Francaise ya Kisumu, historia yake na mpango wake wa kukuza sanaa. 13.10.2026 20:01
Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali aliezuru Kisumu, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Ufaransa Joshua Kome kuzungumzia historia ya kutuo hicho na mikakati yake kukuza sanaa na utamaduni wa watu kutoka eneo hilo la Kenya. Kumbuka kunifollow @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026 04.10.2026 20:09
Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina tofauti. Kila linapotajwa jila la kisumu moja kwa moja unaona maandamano, vurugu, uvuvi, wakati jiji hilo ni mbali kabisa na hayo.
Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269 20.09.2026 20:04
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali ni njia ya kuhifadhi historia, kuwasiliana na jamii, na kuadhimisha matukio muhimu ya maisha. Hapa kuna vipengele muhimu vinavyofafanua muziki wa kitamaduni wa Kiturkana:
Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026 06.09.2026 20:00
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.
Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30 30.08.2026 20:03
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama k...
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026 23.08.2026 19:56
Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu. Nifuatilie @billybilali
Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16 18.08.2026 19:53
Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa hilo. Nifuatilie kwenye mtandao wa kijamii @billy bilali
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha 08.08.2026 20:17
Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani
Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave 19.07.2026 20:01
Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea kwa mara nyingine tena historia ya watu wa kabila la wabembe. Na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Mista Gave aliefariki dunia juma hili huko Uvira. Mazishi ya msanii Gave yamepangwa kufanyika Julai...
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Siku ya kimataifa ya Kiswahili Julai 12 2026 12.07.2026 20:02
Karibu katika makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya lugha ya kiswahili. Na kwenye muziki nitakuletea muziki kutoka bendi ya Lelele Afrika kutoka Mombasa nchini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue, ama Karibu.
Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026 05.07.2026 20:00
Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown...
Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026 28.06.2026 20:01
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya uhuru wa Burundi na kwenye kipengele cha utamaduni nitakuletea tamasha la Umutwenzi lililoandaliwa na wasanii wa Burundi katika mkesha wa siku ya Uhuru wa Burundi na kwenye Muziki nitakuletea kibao cha wasa...
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026 21.06.2026 20:01
Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.
Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka Kenya 14.06.2026 20:05
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Mimi ni Ali Bilali nakukaribisha karibu, ama Bienvenue. Kumbuka pia kunifuatilia @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026 07.06.2026 20:05
Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influancer maharufu kutoka Afrika mashariki Casspyool ambae ametembelea nchi kadhaa duniani, na hapa anatueleza alichojifunza katika safari zake za Tanzania, Uganda na Rwanda. Kumbuka pia kumfollow mtangazaji wako @billy bilal...
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026 17.05.2026 20:02
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza historia ya xenophobia (chuki au woga dhidi ya wageni) tutaungana naye Mariam Posho joélle akiwa nchini Afrika kusini na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mario na wimbo wake mpya Mombasa. Kumbuka kunifuatilia @billy...
Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika 10.05.2026 20:06
Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahamika kama France Afrique. Kumbuka kunifollow @billybilali
Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari 03.05.2026 20:11
Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na katika utamaduni tumeendelea na utaratibu wa jamii ya watu wa kabila la wabembe huko DRC na taratibu za kuoa. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati 25.04.2026 20:13
Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na maeneo mengine ya nchi jirani, wakati katika kipengee cha muziki ni maadhimisho ya miaka kumi tangu alipotoweka mwanamuziki nguli, mfalme wa rumba almaarufu Papa Wemba huko Ivory Coast
Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya 19.04.2026 19:45
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni wa watu kutoka huko Embu kwenye maswala ya chakula, mazazi na uvhumba. Tutamaliza na vibwagizo kadhaa vya Muziki, mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu Kumbuka pia kutufuatilia @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kuishi pamoja makabila mbalimbali April 12 2026 12.04.2026 20:00
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni huu wa watu kutoka eneo moja kuishi pamoja mijini, na kwenye muziki nitakletea mwanaumizi Coco Finger kutoka nchini Uganda, Kumbuka kunifollow @billy bilali
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026 21.03.2026 20:00
Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea visiwani Zanzibar kuangazia utamtuni wa matumizi ya viungo kwenye chakula, kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu sherehe za siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, mimi ni Al...
Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha 12.03.2026 20:01
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzib...
Podcasts similaires
Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics