Ahmad Ten'dii
zumbe10d's Podcast
The Redeemer, Reformer, Saviour and True World Road Map maker. The King for Kings, Lord for Lords.
Besuch unbedingt die Website des Podcasts und unterstütze die Macher: www.podomatic.com
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
Episode 3: Ujumbe wa Ijumaa: Jun 6 (3) - Dhihaki na za PM na Ukanjanja wa "Deep State" 13.06.2024 11:24
Serekali inasema haifanyi kazi mitandaoni. kwa mantiki hiyo kwangu hiyo ni dhihaki. juhudi zangu za kuishirikisha serikali wakati nikiwa na changamoto zote zime ishia patupu. sector ya mapokezi ni sekta ya kuchunguzwa sana, i have pia ni jambo la aibu kwa ofisi za serikali kuwatenga baadhi ya watu kwa vigezo kwamba wanajilinda na stress, hiyo ni mantiki ya hovyo sana. wahuni wachache wanaweza waka...
Episode 3: Ujumbe wa Ijumaa: Jun 6 (4)- Jitambue - Tangazo la Kufarakana 13.06.2024 11:59
Jiwekee mikakati na malengo jitambue wewe mwenyewe kwanza, chagua, watu ambao utaishi nao kwa maisha yanayokuja na watu ambao itabidi mtengane kwa maisha mapya Kuna mambo ambayo yanajirudia rudia na matokeo yake huwa hasi. Yamejengwa juu ya chuki, wivu na roho mbaya na mwisho wake huwa sio mzuri. Mwisho wake ni uduni ni kukosa Karama, Gharama yake ni kuwa mtumwa wa adui zako, mwisho wake ni kutosa...
Episode 2: Ujumbe wa Ijumaa: Jun 6 (2) Hatuna Mwingiliano - Changamoto ya Mawasiliano. 13.06.2024 11:01
hakuna wa kusingizia, hakuna pia anayeweza kututenganisha. Hatujatumia uhuru wetu na haki zetu vizuri. kumtumia mtu kitu na kisipofika, ni ishara ya kukosa uhuru, au upungufu wa akili. ndio hiyo sio hali ya kuzoeleka wala kuvumilika. hatuungani, dunia ya leo, na hizi harakati ambazo naziendesha kidijitali. huwezi ukatenganisha maisha ya mitandaoni na na maisha ya mitaani. baadhi ya mambo yanayolet...
Episode 3: Ujumbe wa Ijumaa: Jun 6 (1) - Kujipambanua kama Dini 12.06.2024 11:12
Kupingwa ni Jambo la kutarajia
Episode 2: Ndoa na Mahusiano: Nadharia Fyongo 2: Eti Hamna Kuchomekeana 03.06.2024 5:58
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Muendelezo wa mafundisho ya Zumbe10D Nawafunza watu jinsi ya kuwaza nakutenda. Masomo haya pia yamefungamanishwa na baraka na karama zilizipo katika mimi na utukufu unaoizunguka nafsi yangu nafsi ya Zumbe Ahmad Ten'dii Hii ni sehemu ya pili katika kipengele cha "Hakuna kuchomekeana". Kitendo hicho ambacho kinaweza kuonekana kidogo sana lakini kina n...
Episode 1: Ujumbe wa Ijumaa Kwa Watoto 24.05.2024 28:41
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Leo na waletea ujumbe wa siku ya ijumaa hususan kwa watoto. Humo nimegusia masuala ya karama na umuhimu uliopo wa kuishi maisha ya wema. Katika ujumbe wa leo nimezingatia baadhi ya mambo ya msingi ya kufundisha watoto ikiwemo kukaa kikao tafakuri na umuhimu wa kujifunza lugha ya kiswahili. Pia nimewaelekeza watoto umuhimu wa kuepukana na tabia chafu...
Episode 1: Zumbe10D Sikosei & SIKOSOLEWI 12.05.2024 21:53
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Niko na ukamilifu wangu Ambao unapaswa kulindwa. Kabla hujamsikiliza mtu anasema nini kuhusu mimi inafaa umfahamu yeye kwanza. Mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia. mimi ni mtawala kiboko ya mifumo kandamizi na mifumo ambayo ina ushenzi ndani yake. Kuanzia ngazi ya kimwili mpaka kiroho au kiasili na kimazingira. Nafunza watu kushinda, na sio kushinda...
Episode 2: Azam TV Na Mechi Ya Yanga Na Simba 20 Apr 07.05.2024 14:37
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Haya ni mapitio ya mimi Zumbe10D (ZA10D) kuhusu mechi ya Simba na na Yanga. Mechi ambayo imechezwa tarehe ishirini mwezi wa nne mwaka huu wa 2024. Mechi hiyo ambayo nilianza kuitazama dakika za mwisho za kipindi cha kwanza na kipindi cha pili chote. Yapo mambo ambayo wengi mlikuwa hamfuatilii lakini kwangu yalikuwa na mwendelezo. Kuna hujuma ambazo...
Episode 1: Zawadi Ya Zumbe Siku Ya Mei Mosi 01.05.2024 2:50
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml ☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️ Kama kuna changamoto ya Episodes (Machapisho) tafadhali badili Rss Feed na weka hiyo mpya. Kisha pitia Orodha upya kuona mpya / ngeni ambazo hujasikiliza. Ujumbe wa kutamausha kutoka kwangu mimi Zumbe Ahmad Hapo ambapo wafanyakazi wanaona ya kwamba wamekwama napo sipo. Kiinua mgongo ni hela zako mwenyewe wakati kodi umeshalipa. Dhan...
Episode 1: IsraPale! Haja ya Israel kuungana na Palestina 26.04.2024 10:07
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Mtazamo wa Zumbe Ahmad Ten'dii pamoja na Haki yangu (Zumbe Ahmad Ten'dii) juu ya Mzozo wa Mashariki ya kati Maamuzi yangu ni ya kuheshimiwa kwa manufaa yetu, Watoto wetu na Vizazi vijavyo Ninunulie Soda (Kama Ada au Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa) Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtandao wowote. Jina ni Ahmad Juma Shelim...
Episode 1: Ufalme na Ujuha Tanzania 26.04.2024 21:41
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Mbele ya Wapumbavu kila kitu kiletacho tabaka hukiita Mamlaka, Hiyo ndio picha halisi ya Wendawazimu. Ni kupoteza muda kubishana na Wendawazimu, Japo kwenye Siasa kila kura moja ina thamani sawa. Wapo wengi wanatamani niwe naweka hukumu na nadharia moja halafu basi, Wasichojua ni kuwa naishi uswahilini, nakula chakula cha migahawa ya Uswahilini. Nak...
Episode 1: Unyonge wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 23.04.2024 15:28
Rss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna usawa na vile vile upoteza dira ya Wanamageuzi na Wanamapinduzi waliopigania uhuru wa Afrika wakiwa na lengo la Afrika kuwa Taifa moja. Wakati wa kuungana kabisa au kutengana ni sasa. Ninunulie Soda (Kama Ada au Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa) Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtan...
Episode 1: Elimu ya Demokrasia na Zumbe10D 21.04.2024 21:38
Zumbe Ahmad Ten’dii, ni Mzalendo wa Tanzania ambaye nina Maono au Safari ya Taifa la Kifalme. Humu nimeweka Maelezo na Maelekezo ambayo yanaweza kuleta haki, Mabadiliko na usawa ambao ni wenye Afya. Ni kama Fursa mpya ambayo inapaswa ijirudie rudie mara nyingi ipasavyo Jambo la kuzingatia Zaidi ni Maelezo na Maelekezo juu ya Kura za Wazi na jinsi itakavyo ufanya uchaguzi sio tu huru na wa haki bal...
Ähnliche Podcasts
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet