Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

TCRA Tanzania

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the electronic and postal communication sector in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Authority Act, No.12 of 2003, which merged the Tanzania Communications Commission (TCC) and the Tanzania Broadcasting Commission (TBC). Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi iliyoasisiwa kwa mujibu wa sheria yenye wajibu wa kudhibiti sekta ya mawasiliano ya Kielektroni na Posta Tanzania. Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...

Autor

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Kategorie

Government

Podcast-Website

www.tcra.go.tz

Neueste Folge

17. Jul 2025

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android 5 Mio.+ Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Mawasiliano ni Fursa: Gari la Mtambo (Mobile Monitoring Radio Frequency Station) 17.07.2025

Ungana nasi kufahamu juu ya kazi ya gari la mtambo wa usimamizi wa masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Unaweza kufuatilia kipindi cha Mawasiliano ni Fursa kupitia chaneli ya YouTube ya TCRA ili kufahamu kwa kina kuhusu majukumu ya gari hilo katika usimamizi wa huduma za mawasiliano nchini. TCRA inaendelea kutumia teknolojia na mifumo mbalimbali kusimamia sekta ya mawasiliano kati...

Matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) Katika Zama za Kidijiti 30.06.2025

Fahamu Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” kupitia ufafanuzi uliotolewa na Mtaalamu wa Masuala ya Akili Unde (Artificial Intelligence - AI) na Mwanzilishi Mkuu wa Mfumo wa AI wa Ghala Bw. Kalebu Gwalugano katika mahojiano aliyofanya na TCRA Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!

Dondoo za Kutambua Taarifa Feki Mtandaoni 09.06.2025

TCRA imepata nafasi ya kujadiliana na Nuzulack Dausen, ambaye ni mwandishi wa habari mwenye tuzo nyingi kutoka Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nukta Africa na Nukta Habari, akibobea katika ripoti za biashara, takwimu, na teknolojia. Yeye pia ni Mwandishi wa Thomson Reuters nchini Tanzania na mhadhiri wa Uandishi wa Habari za Takwimu na Fedha katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amb...

Uidhinishwaji wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki 26.05.2025

TCRA huidhinisha vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwa mujibu wa Sheria  Kifungu Na. 83 (1) na (2)  cha Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta ya Mwaka 2010. Uidhinishwaji huo ni utaratibu maalum wa kuhakikisha kwamba Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki vinakidhi matakwa, mahitaji na viwango vya kitaifa na kimataifa kabla ya kuruhusu vifaa hivyo kuingia sokoni.  Ungana nasi kufaham...

Usimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Kwanza) 26.05.2025

TCRA inahakikisha uwapo wa huduma za posta zenye kuaminika, usalama, ufanisi na bei nafuu ndani ya Jamhuri ya Tanzania. Ungana nasi katika kipindi hiki kufahamu utaratibu na kanuni za utoaji wa huduma katika sekta ndogo ya Posta nchini Tanzania. Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!

Usimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Pili) 26.05.2025

Katika sehemu ya pili ya kipindi hiki cha huduma za posta, TCRA inatoa elimu kuhusu haki na wajibu wa mtoa huduma na mtumiaji wa huduma za posta nchini.  Kipindi hiki hujadili pia anuani makazi ( post codes ) zinatotumika kutambulisha maeneo mbalimbali nchini Tanzania pamoja na matumizi yake katika huduma za mawasiliano ya posta. Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 080000827...

TCRA Zanzibar: Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano, Ofisi ya Zanzibar 05.05.2025

Sheria Na. 12 ya mwaka 2003 iliyoianzisha TCRA inaipa Mamlaka wajibu katika majukumu mbalimbali ikiwemo; kukuza ushindani bora na uchumi wenye tija; kulinda maslahi ya watumiaji; kulinda mitaji ya Watoa Huduma wenye ufanisi; kukuza upatikanaji wa huduma zinazodhibitiwa kwa watumiaji wote wakiwamo wenye kipato kidogo, walioko vijijini na watumiaji walio na walioko katika mazingira magumu; pamoja na...

Taarifa ya Sekta ya Mawasiliano: Januari - Machi, 2025 02.05.2025

Karibu katika wasaa wa kusikiliza ripoti hii inayowasilisha takwimu za sekta ya mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao kupitia simu za mkononi, intaneti, utangazaji, posta na usafirishaji wa vifurushi na vipeto. Takwimu hizi zimeandaliwa kwa kuzingatia viwango vya Shirika la Umoja wa Mawasiliano Duniani (ITU)...

Wasichana katika TEHAMA, 2025: Mageuzi Jumuishi ya Kidijiti 02.05.2025

Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika TEHAMA (International Girls in ICT Day) huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kila mwaka. Hii inafuatia makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU),  kuhimiza wasichana kupenda kusoma masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati, kwa kifupisho cha kiingereza –STEM, yaani Science, Technology, Engineering and Mathemat...

Jamii Yetu: Zanzibar - Mawasiliano na Maendeleo ya Kilimo 03.03.2025

Mawasiliano huleta faida mbalimbali katika maisha ya kila siku. Kipindi hiki kinaelezea yaliyojiri katika kilimo cha karafuu na namna mawasiliano huchochea kilimo hiki katika kisiwa cha Zanzibar. Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!

Höre den Podcast TCRA Tanzania in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet