VOA

Sauti - Voice of America

News SW ↓ 50 Folgen

Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries

Besuch unbedingt die Website des Podcasts und unterstütze die Macher: www.voaswahili.com

Autor

VOA

Kategorie

News

Podcast-Website

www.voaswahili.com

Neueste Folge

19. Feb 2025

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android fast 10 Mio. Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi - Februari 19, 2025 19.02.2025

Serikali ya Kenya imkosolewa na mkuu wa jeshi la Sudan na baadhi ya wakosowaji wa nchi hiyo kwa kudai imefanya kitendo cha uhalifu wa kutowajibika kwa kuwaruhusu waasi wa kundi la wanamgambo wa Sudan RSF kukutana Nairobi na kupanga kutangaza serikali ya uhamishoni.

REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3 - Novemba 25, 2024 25.11.2024

Dunia ikiadhimisha siku 16 za uanaharakati, mashirika ya asasi za kijamii Kenya yameungana na wengine duniani kupinga ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake ambayo yameshamiri na kuzua hofu miongoni mwa wanawake kenya.

Biden na Trump watafuta kura za wanawake - Mei 28, 2024 28.05.2024

Wapiga kura wanawake ni zaidi ya nusu ya wapigakura wote hapa Marekani na katika uchaguzi wa mwaka 2024 kura zao zimekua muhimu kwa wagombea kiti cha rais hawa kutokana na suala la utuaji mimba na haki za uzazi.

Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana - Mei 01, 2024 01.05.2024

Rwanda yaweka mkakati mpya wa ajira kwa vijana unaoambatana na mwelekeo wa dunia wenye mfumo wa teknologia katika kutoa huduma mbalimbali.

Hatimaye suluhisho la mzozo kati ya wakulima na wafugaji lapatikana Nigeria - Machi 13, 2024 13.03.2024

Ukame, ardhi kugeuka jangwa, ukataji miti na mabadiliko ya hali ya hewa Kaskazini mwa Nigeria yamewalazimisha wafugaji kuhamia kusini wakitafuta maeneo ya malisho kwa mifugo.

Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano - Februari 05, 2024 05.02.2024

Mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, Charles Karisa anasema kwamba ziara ya rais Andrzej Duda wa Poland nchini Kenya ni muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili.

Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Kampeni ya uchaguzi ikiwa imefikia wiki yapili Nchini DRC, Mgombea Moise Katumbi amewasili mjini Bukavu kujieleza mbele ya wakazi.

Matarajio ya Vijana kuhusu uchaguzi Congo - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Kundi la vijana nchini Congo kwa ujumla linaelezewa kuwa linatumika katika harakati mbali mbali za uchaguzi ikiwemo kampeni na masuala mengine ambayo inadaiwa kutumia iwe kwa nia njema au kwa sababu za kuwaridhisha wale ambao wanawatumia.

Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya.

Kampeni na ushindani uliopo DRC - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Siku chache kabla mwisho wa kampeni za uchaguzi, bado hali ya ushindani inaendelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, huku kukiwa na mivutano mikubwa kati ya wagombea.

Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa - Desemba 19, 2023 19.12.2023

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, Sikiliza mpango wa mmoja wa wagombea Mukwege endapo atachaguliwa.

Binti Shupavu, mradi unaowasaidia wasichana kujiamini. - Novemba 03, 2023 03.11.2023

Binti Shupavu ni mradi wa kuwawezesha wasichana kujiamini na kufanikiwa katika masomo yao nchini Kenya

Balozi wa Tanzania nchini Israel aeleza kuhusu watanzania waliopotea - Oktoba 09, 2023 09.10.2023
MAHOJIANO: Mchambuzi Amin Mwidau aangazia vita vilivyozuka kati ya Israeli na Hamas.mp3 - Oktoba 09, 2023 09.10.2023
Vita kati ya Israeli na Hamas vyaingia siku ya pili.mp3 - Oktoba 09, 2023 09.10.2023
Amin Mwidau azungumzia mdahalo wa pili wa wagombea kiti cha rais wa chama cha Republican - Septemba 28, 2023 28.09.2023

Wagombea saba wa chama cha Republican wanaopigania nafasi ya kukiwakilisha chama chao katika uchaguzi wa rais wa 2024, wazungumzia masuala ya uhamiaji, China na uchumi, lakini wakati mwingi walikua wakibishana vikali.

MKUTANO WA COMESA.mp3 - Septemba 15, 2023 14.09.2023
JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023 28.07.2023

Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire

KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023 26.07.2023

Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi.

Mahojiano na Hassan Ali - Julai 07, 2023 07.07.2023

Dunia inapoadhimisha siku ya Kiswahili, Mwandishi Hassan Ali amekua kwa miaka mingi anafunza Kiswahili kupitia matangazo na mafundisho yake yanaambatana na matumizi ya maneno yenye ucheshi ili kuwavutia wasikilizaji wake kutumia Kiswahili sanifu.

Profesa Timothy Sadera akizungumza na VOA Swahili.m4a - Juni 12, 2023 12.06.2023
Wanaharakati wasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu - Juni 01, 2023 01.06.2023

Wanawake wengi wanapitia msongo wa mawazo baada ya kujifungua, wengi wao wakijikuta katika hali ngumu zaidi kwa kukosa msaada wa mapema. Watetezi wa wanawake na hasa wa Afya ya akili wanasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu na inahitaji wanawake zaidi kuzungumzia matatizo yao mapema.

Ghasia za kijamii na mapigano yaongezeka Darfur Magharibi - Juni 01, 2023 01.06.2023

Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa.

JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023 07.05.2023

Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya

MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023 02.05.2023

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora

Höre den Podcast Sauti - Voice of America in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet