Leonard Musikula
PINPOINT PODCAST
🎯 Uliwahi kujiuliza… Kwa nini baadhi ya matukio yanaamua mechi, lakini watu wengi hawaoni? PIN POINT imerudi. Safari hii… tunaenda ndani zaidi. Sio kwa macho tu— bali kwa takwimu zinazoeleza ukweli wa mchezo. Kwa sababu hatuangalii kilichotokea… tunaangalia kwanini kimetokea. Kaa tayari. 🎙️
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
PIN POINT ep 2 05.05.2026 11:15
DONDOO ZA KARIAKOO DERBY: Leo ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz tz anaangazia takwimu za kimbinu na kiufundi kwa Simba SC na Yanga SC baada ya mchezo wa jana Mei 3, 2026 uliotamatika kwa timu hizo kugawana alama moja moja.
PINPOINT ep 1 27.04.2026 12:38
Fainali ya Muungano Cup inaleta kitu cha kipekee—Yanga SC dhidi ya Simba SC, Jumatano Aprili 29 saa 2:15 usiku. Mwamba wa Juu hapa LEONAR MUSIKULA nimekuletea uchambuzi wa kitakwimu na ufundi kuelekea kwenye mchezo huu.
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet