Meza Huru

Meza Huru

Music SW ↓ 26 Folgen

Tanzanian music, from Genesis to currently status told by Stake holders.

Autor

Meza Huru

Kategorie

Music

Podcast-Website

podcasters.spotify.com

Neueste Folge

29. Mai 2025

Wo hören?

Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbar

Podcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts

Bei Google Play herunterladen Kostenlos installieren Android 5 Mio.+ Downloads · Bewertung 4,8 iOS bald

Folgen

Mezani na CHIZAN BRAIN #25 29.05.2025

Umeshawahi kujiuliza kwanini mpaka leo kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva kina uchache wa Magwiji katika mixing & mastering??? Majina kama Laizer, Mixing killer, Chizan Brain n.k yanatajwa kwa kujirudia kwenye nyimbo za wasanii wengi kwasasababu ni wao tu ndo walioamua kujiongeza kwa kupata knowledge ya ukamilishaji wa project za Audio. Naomba nikukaribishe kwenye ulimwengu wa Chizan Brain, kij...

Mezani na ASHA BARAKA #24 14.02.2025

AshaBaraka ni nani? Asha Baraka ni ASHA BARAKA. Unaweza kwenda mbali zaidi ukamuitaMama wa muziki wa dansi Tanzania na usiwe umemzidishia sifa. Asha Barakamwanamichezo kutoka Tabora Girls, Bima hadi kua kocha wa Netball(mpira wapete). Lakinileo tunakubaribisha kwenye safari yake kama mwanamke wa kwanza kumiliki bendiya muziki wa dansi Tanzania na mtanzania pekee ambae anaweza sema asilimiakubwa ya...

Mezani na TAJI "MASTER T" LIUNDI #23 03.01.2025

Kama ulishawahi kuisikia ile story ya mtangazaji wa kwanza kucheza wimbo wa Bongo Fleva kwenye radio. Mtangazaji huyo, leo amepata nafasi ya kutubariki na historia yake. Jinsi alivyochangia muziki huu kuwa kimbilio la vijana wengi sana kama sehemu ya ajira yao. Jina lake kamili ni Taji George Liundi au MASTER T kama alivyobatizwa na Charles Hillary. Kuanzia alivyoanza kutangaza Redio One, moja ya...

Mezani na LUCCI #22 01.11.2024

Marehemu CPWAA anatajwa kama mmoja wa wasanii wa kwanza kufanya muziki wa Crank (KING OF BONGO FLEVA CRANK) kupitia ngoma ya PWAA iliyotayarishwa na LUCCI chini ya Mawingu Studio. Hii inamaanisha kuwa Lucci ni mmoja wa waandaaji wa kwanza kwa muziki wa Bongo Fleva wenye mahadhi ya Crank. Mbali na kutayarisha muziki vilevile Lucci anasimama kama msanii baada ya kushiriki kwenye nyimbo kadhaa mfano...

Mezani na DARK MASTER #21 20.09.2024

Bado kiwanda cha Bongo Fleva kinaendelea kukumbuka mchango mkubwa wa vijana walioiwakilisha Dodoma mwanzoni mwa mwaka 2001 kupitia ngoma zao kadhaa ambazo zinachezwa na kusikilizwa mpaka hivi sasa. Wanaitwa Chemba Squad, ambapo ndani yake majina kama Noorah aka Baba stylz, Dark Master, Albert Mangwea na Mez B wa area C yalitajwa kuunda kundi hilo. Ngoma kama Ice Cream, Ghetto langu na Kama Vipi zi...

Mezani na FEROOZ #20 02.08.2024

Je Unamfahamu FERUZI MRISHO? Gwiji na moja wa waanzilishi na NUNDA mkuu wa DAZ NUNDAZ. Mwenyewe akitambulika zaidi kama Kamanda kabla Kamanda haijawa THE ANTHEM it is now. Leo tuko nae mezani akitusimulia safari yake yote ya mziki, toka anaandikiwa mashairi na dada yake Achane mpaka anatunga tungo matata kama Starehe, Kamanda, Nitafanya Nini, Jirushe, Elimu dunia N.K. Karibu Mezani.

Mezani na MARLON LINJE #19 18.07.2024

Je, Unamfahamu producer ambaye, dare I say it, bila yeye labda kwaya au bendi yako maarufu usingeisikia kama ulivyoisikia? Producer ambaye amefanya zaidi ya 80% ya production ya mziki wote wa bendi na kwaya Tanzania kwa miaka 30. Marlon Linje, bonge la mshika dau, leo yupo nawe mezani, karibu.

Mezani na MANDOJO NA DOMOKAYA #18 25.11.2022

Usichofahamu ni majina yao halisi Joseph Francis Michael Ong'oso na Precious Juma Mkoma maarufu kama Man'Dojo na Domokaya. Wanamuziki mashuhuri sana wa kizazi cha jana na leo. nani asiyepende kusikia sauti nzuri na za kuvutia zikisindikizwa na Guitar lao(wenyewe wanaliita Banjo)? Nani asiyetambua uwezo wa miamba hawa wa muziki katika kuweka viitikio na vionjo makini katika nyimbo mbalimbali za Muz...

Mezani na KIBACHA Part II 22.11.2022

Sehemu ya pili ya maongezi yetu na KBC, ambaye wengi wanamfahamu kama Kibacha Huyu ni mojawapo wa mwamba muhimu wa Hip Hop ya Tanzania. Unaambiwa zama zake, Kipaza kilimuogopa kama ukoma, Rafiki wa mashairi na mchenguaji mashuhuri. Gwiji wa mtindo huru na Battle Emcee haswaaa.  Kibacha ni miongoni mwa waanzilishi wa Kundi kongwe na mahiri la KWANZA UNIT. Ametupa heshima kubwa ya kukaa nasi na...

Mezani na KIBACHA Part I 18.11.2022

Anaitwa KBC, wengi wanamfahamu kama Kibacha Huyu ni mojawapo wa mwamba muhimu wa Hip Hop ya Tanzania. Unaambiwa zama zake, Kipaza kilimuogopa kama ukoma, Rafiki wa mashairi na mchenguaji mashuhuri. Gwiji wa mtindo huru na Battle Emcee haswaaa.  Kibacha ni miongoni mwa waanzilishi wa Kundi kongwe na mahiri la KWANZA UNIT. Ametupa heshima kubwa ya kukaa nasi na kutupa historia ya muziki wake ta...

Mezani na DOLO #15 11.11.2022

Anaitwa DOLOMOI FRANCIS, kwa jina maarufu anafahamika kama DOLO. Ni moja ya waasisi wa kundi la Wachuja Nafaka na Wanaume TMK. Kutoka maeneo ya TEMEKE. Tumepata bahati ya kukaa naye mezani na ametupitisha kwenye safari yake ya muziki. Kuanzia akiwa hajawa Dolo, mpaka hivi sasa akiwa bado anapeperusha vyema bendera ya TMK. #MezaniNaDolo #MezaHuru

Mezani na KR MULLAH #14 04.11.2022

KR Mullah ,miongoni mwa waasisi wa GWM (Gangstaz With Matatizo), Wachuja Nafaka, TMK Wanaume family Mwamba huyu kutokea Temeke Dar es Salaam amefanya makubwa sana katika muziki wetu kabla haujaanza kuwa rasmi Amefanya kazi na wakongwe kama Boniluv, Master Jay na P Funk. Ametupatia heshima kubwa ya kutupa simulizi yake tangu akiwa kijana mdogo katika muziki mpaka sasa bado anawakilisha Temeke popot...

Mezani na RAS INNO #13 28.10.2022

Ras Innocent Nganyagwa ni miongoni mwa wanamuziki nguli katika kizazi cha tatu cha muziki wa Reggae kutoka Tanzania.  Muziki wa Reggae Afrika ulianza kushamiri baada ya Uhuru wa Zimbabwe mwaka 1980, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa za mwanzo kupata mapokeo ya muziki huo. Tumezungumza na Ras Inno kuhusu imani ya RastaFari, muziki wa Reggae Ras Innocent Richard Nganyagwa ni shule haswa,...

Mezani na CAROLA KINASHA #12 21.10.2022

Carola Kinasha, ukimuona huwezi kuamini ana miongo sita duniani. First lady wa Bene Bene na baadaye Shada. Msomi wa chuo kikuu aliyechagua kufanya muziki kama kazi. Mwanaharakati wa mwanzo kabisa wa stahiki na haki za utunzi, na moja walioupeleka mbali sana muziki wa asili ya Afrika. Ni mcheshi na mwenye maarifa mengi sana kuhusu maisha na safari ya muziki wetu tangu miaka ya themanini mpaka leo h...

Mezani na MIKE TEE #11 14.10.2022

Wengi wanamjua kwa jina la Mnyalu, Mike Tee, The Dangerous Emcee ila jina lake kamili ni Mike Francis Mwakatundu.  Mike Tee alianza kuimba mwanzoni mwa miaka ya 90, akiimba kwaya kanisani na taratibu akaanza kujifunza kuandika na kuimba mistari kupitia mashairi ya gazetini baada ya kukutana na Ntwa mmoja wa waanzilishi wa WWA (Wagumu Weusi Asilia). Amefanya kazi na watayarishaji kama P Funk n...

Mezani na UNCLE JOHN KITIME #10 07.10.2022

Mzee Kitime ama Ango "Uncle" Kitime kama mwenyewe anavyojitanabaisha kwenye mitandao. Ni mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi kutoka Kilimanjaro Band maarufu kama "Wana Njenje", mmoja wa wanakamati ya kutetea muziki wa dansi na tasnia ya muziki kwa ujumla, Mtangazaji wa Radio, Muigizaji wa Filamu, Mchekeshaji na Mtunza historia ya Music wa Tanzania. Tumekaa naye na kupata historia ya muziki wake n...

Mezani na MASTER JAY Part II 30.09.2022

Sehemu ya pili ya maongezi na Master Jay. Kama hujasikiliza nyimbo alizotengeneza (naamini ni vigumu), utakuwa umemuona kwenye mashindano ya kusaka vipaji Joachim Marunda Kimaryo ni Gwiji kabisa katika tasnia ya muziki wetu Amehusika katika Hip Hop, Bongofleva, Dansi mpaka nyimbo za Dini 😁 Tumepata nafasi ya kuzungumza naye na ametupa simulizi ambazo zinaweza kutumika kama chanzo rasmi cha histor...

Mezani na MASTER JAY Part I 23.09.2022

Nani asiyemfahamu Master Jay? Kama hujasikiliza nyimbo alizotengeneza (naamini ni vigumu), utakuwa umemuona kwenye mashindano ya kusaka vipaji Joachim Marunda Kimaryo ni Gwiji kabisa katika tasnia ya muziki wetu Amehusika katika Hip Hop, Bongofleva, Dansi mpaka nyimbo za Dini 😁 Tumepata nafasi ya kuzungumza naye na ametupa simulizi ambazo zinaweza kutumika kama chanzo rasmi cha historia za muziki...

Mezani na BONILUV #TheGodfather Part II 16.09.2022

Sehemu ya pili na Kaka Boniphace Kilosa a.k.a #Boniluv. Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer...

Mezani na BONILUV #TheGodfather Part I 09.09.2022

Boniphace Kilosa a.k.a #Boniluv Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer wote wa muziki wa kizaz...

Mezani na DUNGA #05 02.09.2022

#MezaniNaDunga #MezaHuru #Dunga Wengi wetu tunamfahamu kwa jina la Dunga ama Mandugu. Jina lake kamili ni Ambrose Akula Akwabi.  Huyu ni mtu muhimu sana katika muziki wetu. Amekuwepo tangu enzi tunajitafuta.  Dunga na kaka yake (Shakii) wanaunda Mandugu Digital. Amefanya kazi nyingi sana mashuhuri na nyingine unaweza usiamini anahusika nazo. Jumuika nasi mezani, tumsikilize Mwamba Huyu...

Mezani na JORS BLESS #04 26.08.2022

Johnson Sululu a.k.a Jorsbless ni sehemu ya kizazi bora cha utayarishaji na uandaaji wa midundo katika tasnia ya muziki Tanzania Amefanya kazi na wasanii kama Mapacha, Rama Dee, Nikki Wa Pili , Adili n.k Unakumbuka kuhusu ANTI-VIRUS Movement? Tumeligusia hili pia 😁 Amefanya kazi kama DJ katika kituo cha #TimesFm na baadae #AzamTV kama Sound Engineer Tumekaa na JORS na kupiga soga kuhusu mais...

Mezani na MEJAH #03 19.08.2022

MEJAH ni Mwana Hip Hop na Mjasiriamali aliyegeuza mahaba yake ya uchora machata(GRAFFITI), Kusafiri, Kuendesha baiskeli  kuwa sehemu ya kipato chake Tumepata nafasi ya kuzungumza nae na anatupitisha katika historia ya maisha yake kuanzia kuandika sehemu ya wimbo wa JCB wa Kundi la Watengwa,Kuuza majarida mbalimbali mfano "The Source" mpaka kushiriki katika majukwaa mbalimbali ya Graffiti kupi...

"Kwenda Mbele" 14.08.2022

A Conversation with Duke Part ii

"The First Session" 11.08.2022

First part of Duke opening up about his journey in Tanzanian Music.

Höre den Podcast Meza Huru in Replaio

Radio und Podcasts in einer App - kostenlos und ohne Anmeldung. Installiere sie noch heute und verpasse den Start nicht

Bei Google Play herunterladen

Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet