Tumsime
Maarifa Podcast na Tumsime
Maarifa Podcast na Tumsime ni podcast ambayo imejikita kutoa maudhui ya teknolojia. Hapa utaweza kujifunza maada mbalimbali katika taaluma katika sayansi ya kompyuta kwa wepesi na pia utaweza kusikia safari za mafaniko kutoka kwa watu mbalimbali, ambazo safari zao zinaweza kukupa mawazo mapya, hamasa na kuzifahamu fursa zilizopo kwa lengo la kujifunza.
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
SE1 EP09 - Jifunze kujenga ushawishi na kuuza wazo lako kwa Mafanikio (Mawasiliano) 29.03.2024 10:24
Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:- 1. Mawasiliano ni nini? 2. Umuhiumu wa mawasiliani 3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo lake 4. Mawasiliano yanavoweka kuwa complex
SE1 EP08 - Tree Data Structure - Concepts 22.10.2023 9:33
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Tree Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science, unafanya kazi kama Software Engineer au unataka kujifunza kuhusu software development. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Tree Data Structure. 2. Concepts zanazotumika kwenye Tree Data Structure.
SE1 EP07 - Data structures - Tree Intro 01.07.2023 4:19
Kwenye kipindi cha leo nitagusia kuhusu introduction ya Tree Data Structure kwenye kompyuta.
SE1 EP06 - Graph Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure 29.05.2023 13:05
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Graph Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Graph data structure na kuelewa kuhusu vertex na edge. 2. Sifa za graph data structure 3. Aina za graph kama vile undirected na direc...
SE1 EP05 - Queue Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure 12.03.2023 11:01
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Queue Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Queue data structure. 2. Sifa za queue data structure 3. Operations unaweza kuzifanya kwenye queue DT kama vile enqueue, dequeue, pee...
SE1 EP04 - Stack Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure 26.02.2023 12:19
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Stack Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Stack data structure. 2. History fupi ya stack data structure. 4. Vitu unaweza kufanya kwenye stack kama push, pop. 5. Mifano ya sehe...
SE1 EP03 - Linked List Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure 11.02.2023 15:02
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Linked List Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo utaweza kujifunza:- 1. Linked list ni data structure gani. 2. Sifa za Linked list kulinganisha na Array. 3. Aina za Linked list (Singly, Doubly, Circu...
SE1 EP02 - Array Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure 29.01.2023 19:10
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia kuhusu Array Data Structure kwenye Kompyuta. Utaweza kufahamu nini maana ya Array, umuhimu wa kufahamu Array kama Softare Engineer, Sifa/faida za kutumia Array, Wakati gani Array inakua sio cha guo zuri wakati wa kuandika programu. Pia utaweza kujifunza kuhusu programming languages na mifano. Utaweza kufahamu vitu vya kuzingatia wakati wa interview na un...
SE1 EP01 - Jinsi Ya Kuzipangilia Data Kwenye Kompyuta | Data Structure 14.01.2023 14:41
Kwenye kipindi cha leo, utajifunza kuhusu kupangilia data kwenye kompyuta (Data Structure), umuhimu wake na aina za data structure zinazotumika sana. Pia utaweza kujifunza kuhusu Memory kwa ufupi.
Karibu Kwenye MaarifaPodcast na Tumsime. 31.12.2022 0:49
Karibu Kwenye MaarifaPodcasts na Tumsime ambapo utaweza kujunza maada mbalimbali kwenye sayansi ya kompyuta.
Ähnliche Podcasts
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet