VOA
Sauti - Voice of America
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries
Husk at besøge podcastens hjemmeside og støtte skaberen: www.voaswahili.com
Hvor kan du lytte?
Podcasts i appen Replaio Radio Kommer snartPodcasts kommer snart til appen. Installer nu, og vær den første til at se en helt ny tilgang til podcasts
Episoder
Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi - Februari 19, 2025 19.02.2025 3:48
Serikali ya Kenya imkosolewa na mkuu wa jeshi la Sudan na baadhi ya wakosowaji wa nchi hiyo kwa kudai imefanya kitendo cha uhalifu wa kutowajibika kwa kuwaruhusu waasi wa kundi la wanamgambo wa Sudan RSF kukutana Nairobi na kupanga kutangaza serikali ya uhamishoni.
REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3 - Novemba 25, 2024 25.11.2024 3:06
Dunia ikiadhimisha siku 16 za uanaharakati, mashirika ya asasi za kijamii Kenya yameungana na wengine duniani kupinga ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake ambayo yameshamiri na kuzua hofu miongoni mwa wanawake kenya.
Biden na Trump watafuta kura za wanawake - Mei 28, 2024 28.05.2024 3:26
Wapiga kura wanawake ni zaidi ya nusu ya wapigakura wote hapa Marekani na katika uchaguzi wa mwaka 2024 kura zao zimekua muhimu kwa wagombea kiti cha rais hawa kutokana na suala la utuaji mimba na haki za uzazi.
Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana - Mei 01, 2024 01.05.2024 3:32
Rwanda yaweka mkakati mpya wa ajira kwa vijana unaoambatana na mwelekeo wa dunia wenye mfumo wa teknologia katika kutoa huduma mbalimbali.
Hatimaye suluhisho la mzozo kati ya wakulima na wafugaji lapatikana Nigeria - Machi 13, 2024 13.03.2024 2:28
Ukame, ardhi kugeuka jangwa, ukataji miti na mabadiliko ya hali ya hewa Kaskazini mwa Nigeria yamewalazimisha wafugaji kuhamia kusini wakitafuta maeneo ya malisho kwa mifugo.
Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano - Februari 05, 2024 05.02.2024 2:57
Mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, Charles Karisa anasema kwamba ziara ya rais Andrzej Duda wa Poland nchini Kenya ni muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili.
Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu - Desemba 19, 2023 19.12.2023 2:47
Kampeni ya uchaguzi ikiwa imefikia wiki yapili Nchini DRC, Mgombea Moise Katumbi amewasili mjini Bukavu kujieleza mbele ya wakazi.
Matarajio ya Vijana kuhusu uchaguzi Congo - Desemba 19, 2023 19.12.2023 4:59
Kundi la vijana nchini Congo kwa ujumla linaelezewa kuwa linatumika katika harakati mbali mbali za uchaguzi ikiwemo kampeni na masuala mengine ambayo inadaiwa kutumia iwe kwa nia njema au kwa sababu za kuwaridhisha wale ambao wanawatumia.
Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu - Desemba 19, 2023 19.12.2023 5:12
Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya.
Kampeni na ushindani uliopo DRC - Desemba 19, 2023 19.12.2023 4:11
Siku chache kabla mwisho wa kampeni za uchaguzi, bado hali ya ushindani inaendelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, huku kukiwa na mivutano mikubwa kati ya wagombea.
Mukwege aelezea kuhusu Mpango wake endapo atachaguliwa - Desemba 19, 2023 19.12.2023 2:46
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, Sikiliza mpango wa mmoja wa wagombea Mukwege endapo atachaguliwa.
Binti Shupavu, mradi unaowasaidia wasichana kujiamini. - Novemba 03, 2023 03.11.2023 6:05
Binti Shupavu ni mradi wa kuwawezesha wasichana kujiamini na kufanikiwa katika masomo yao nchini Kenya
Amin Mwidau azungumzia mdahalo wa pili wa wagombea kiti cha rais wa chama cha Republican - Septemba 28, 2023 28.09.2023 4:03
Wagombea saba wa chama cha Republican wanaopigania nafasi ya kukiwakilisha chama chao katika uchaguzi wa rais wa 2024, wazungumzia masuala ya uhamiaji, China na uchumi, lakini wakati mwingi walikua wakibishana vikali.
JARIDA LA WIKI JULY 29 2023 - Julai 28, 2023 28.07.2023 20:57
Wiki hii tunaangazia mkutano kati ya rais wa Russia Vladimir Putin na viongozi wa nchi za Afrika, mapinduzi nchini Niger na Maandamano nchini Israel. Mtayarishaji na msimulizi wa kipindi ni Kennes Bwire
KWA UNDANI JULY 26 2023: Mkutano wa Putin na Marais wa nchi za Afrika nchini Russia - Julai 26, 2023 26.07.2023 25:00
Viongozi wa Afrika wanaanza mkutano wao na rais wa Russia Vladmir Putin, nchini Russia lakini chini ya nusu ya marais wa Afrika wanahudhuria mkutano huo wakisema wanastahili kuakilishwa na mwenyekiti wa umoja wa Afrika hatua ambayo Russia inadai inachochewa na nchi za magharibi.
Mahojiano na Hassan Ali - Julai 07, 2023 07.07.2023 6:08
Dunia inapoadhimisha siku ya Kiswahili, Mwandishi Hassan Ali amekua kwa miaka mingi anafunza Kiswahili kupitia matangazo na mafundisho yake yanaambatana na matumizi ya maneno yenye ucheshi ili kuwavutia wasikilizaji wake kutumia Kiswahili sanifu.
Wanaharakati wasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu - Juni 01, 2023 01.06.2023 4:06
Wanawake wengi wanapitia msongo wa mawazo baada ya kujifungua, wengi wao wakijikuta katika hali ngumu zaidi kwa kukosa msaada wa mapema. Watetezi wa wanawake na hasa wa Afya ya akili wanasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu na inahitaji wanawake zaidi kuzungumzia matatizo yao mapema.
Ghasia za kijamii na mapigano yaongezeka Darfur Magharibi - Juni 01, 2023 01.06.2023 4:01
Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa.
JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023 07.05.2023 20:20
Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya
MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023 02.05.2023 12:02
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora
Lignende podcasts
Replaio er ikke podcastudgiver; programmernes navne, coverbilleder og lyd tilhører deres ophavsmænd og distribueres via offentlige RSS-feeds.