Nukta Habari
Nukta the Podcast
Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.
Husk at besøge podcastens hjemmeside og støtte skaberen: nukta.co.tz
Hvor kan du lytte?
Podcasts i appen Replaio Radio Kommer snartPodcasts kommer snart til appen. Installer nu, og vær den første til at se en helt ny tilgang til podcasts
Episoder
The Suicide Squad: Filamu ya waovu wanaobaki tumaini dunia 30.07.2021 5:31
Pale Superman anapokufa, ulimwengu unabaki bila shujaa wa kumtegemea. Lakini Afisa wa Intelijensia nchini Marekani, Amanda Waller anaishawishi Serikali kuridhia kutengenezwa kwa kikundi cha magaidi walioshindikana.
Filamu ya safari ya kuutafuta mti unaofufua waliokufa 23.07.2021 5:30
Kama ulimmiss The Rock na filamu zake za “adventure”, hii itakufaa. Ukiitazama, tupe mrejesho wa kiasi ulichofurahia.
Filamu ya Black Widow: Sababu kwanini usikimbie matatizo yako 09.07.2021 6:20
Baaada ya kumwona katika hadithi ambazo alikuwa tayari katika mafanikio, Natasha Romanoff sasa anakuja na historia yake katika filamu ya Black Widow.
Hii ndiyo maana halisi ya rafiki: Filamu ya Luca 02.07.2021 7:18
Safari ya marafiki wawili inapoingia vikwazo na vizingiti, havitoshi kukakatisha ndoto zao.
Lupin II: Filamu inayoelezea mwanzo wa uhalifu wa kitanashati 25.06.2021 5:48
Katika sehemu ya kwanza, mtoto wa Assane Diop, Raoul alitekwa na Leonard ambaye ni kibaraka wa bilionea Hubert Pellegrini ikiwa ni mtego wa kumvuta Assane katika umauti wake.
Filamu: “Uongo” unapobaki tumaini la kuukomboa ulimwengu 18.06.2021 4:10
Loki ambaye amecheza na mpangilio wa muda analazimika kulipia makosa yake lakini mambo yanageuka pale anapobaki tumaini pekee la ulimwengu.
Lignende podcasts
Replaio er ikke podcastudgiver; programmernes navne, coverbilleder og lyd tilhører deres ophavsmænd og distribueres via offentlige RSS-feeds.