Hub of Wisdom inc.

H.W PODCAST - Positive Vibes!

Ni muda wa kuchukua nafasi yako katika meza ya H.W nasi tutawasilisha kwako mawazo ya thamani kwa maneno ya dhahabu. Mahali pa kwanza na pekee unapohitaji kuwa kwa ajili ya ustawi wako. Karibu tujifunze vingi. Pata nafasi ya kusikiliza mambo ya msingi sana yatakayonoa stadi zako, kukuongezea maarifa na kuchochea maendeleo yako ya kiutu. #Karibu_nyumbani.

Forfatter

Hub of Wisdom inc.

Kategori

Education

Podcastens hjemmeside

www.hubofwisdom.com

Seneste episode

12. jan. 2025

Hvor kan du lytte?

Podcasts i appen Replaio Radio Kommer snart

Podcasts kommer snart til appen. Installer nu, og vær den første til at se en helt ny tilgang til podcasts

Hent den på Google Play Installer gratis Android næsten 10 mio. downloads · 4,8 i bedømmelse iOS snart

Episoder

KUONGEZA TIJA (Productivity) | Anthony Luvanda 14.02.2022

Mafanikio ni matokeo ya tabia. Tabia tuliyonayo ndio itakufanya Israeli au usisitawi. Kwenye jambo lolote like. Je, umewahi kujiuliza ni nini ufanye ili kuongeza ufanisi wako? Anthony Luvanda anaelezea njia tano zitakazochangia kukuza ufanisi wako.

KWA WENYE SHAUKU YA KUTIMIZA NDOTO ZAO | Kutoka kwa Paul Clement 10.02.2022

Paul Clement anaelezea kwa hisia historia ya maisha yake halisi na kutoa hamasa kwa kila mwenye shauku ya kufika mahali fulani kufuata malengo aliyojiwekea, uwezo au kipaji alichonacho. #Karibu_nyumbani

THE NEW CURRENCY | Isaac J. 04.08.2021

The truth is, many people find it annoying to innitiate unnecessary bonds. But here is the punchline...

THE SHIFT (Episode 3) - From hiding to leading. 03.03.2021

#Karibu_nyumbani

THE SHIFT Sehemu ya pili (Kiswahili) - KUSTAHIMILI 09.02.2021

Kinachotufanya kufuzu kwenda kwenye hatua ya ushindi ni uwezo wetu wa kustahimili. Jifunze kustahimili... utengeneze njia ya kuhama kutoka kwenye matatizo kwenda miujiza

THE SHIFT - A Transformational Secret 'From Problems To Miracles' 07.01.2021

Here is what you had always been in need of. That which will quench your zest. In this first episode we've shared with you transformational secret (From problems to miracles).  Sharing Ideas that matter!

H.W... @clouds fm 26.09.2020

maelezo ya Program ya usomaji

UJASIRI | Reuben Ndimbo 09.05.2020

Kujiamini sio suala la wewe kuogopa kukosea bali kuthubutu kufanya.

WEWE NI NYOTA | Lilian Mwasha 07.05.2020

"Ukiwa unakitu ndani yako ule uzuri wa nje huwa unajengeka kwa kufuata uzuri wa ndani" Anasema dada Lillian Mwasha.

FURAHA | Alice Prince 13.04.2020

Namna ya kuibua, kutengeneza na kutunza furaha yako pamoja na kushinda upitapo katika changamoto.

SAMWELI SASALI | Exclusive interview 29.02.2020

Mr. Sam Sasali anaelezea kwa muhtasari kuhusu maisha yake na kufafanua zaidi baadhi ya mambo ambayo wanajamii @house_of_wisdom_grp wametamani kufahamu

UBUNIFU | Harris Kapiga 29.02.2020

Harris Kapiga anasema kuhusu maisha yake binafsi na nini anaiambia jamii kuhusu suala la ubunifu.

WEWE NDIYE MWAMUZI WA HATIMA YAKO | Anthony Luvanda 29.02.2020

Mc Luvanda anaelezea kinagaubaga kuhusu maisha yake binafsi na nini anakifahamu kuhusu hatima ya mtu na uwezo wake katika kuiamua. #Karibu_nyumbani

H.W podcast 29.02.2020

#Karibu_nyumbani

Lyt til podcasten H.W PODCAST - Positive Vibes! i Replaio

Radio og podcasts i én app - gratis og uden tilmelding. Installer i dag, og gå ikke glip af lanceringen

Hent den på Google Play

Replaio er ikke podcastudgiver; programmernes navne, coverbilleder og lyd tilhører deres ophavsmænd og distribueres via offentlige RSS-feeds.