VOA

Alfajiri - Voice of America

News SW ↓ 50 bölüm

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Podcast'in sitesini ziyaret etmeyi ve yapımcısını desteklemeyi unutma: www.voaswahili.com

Yazar

VOA

Kategori

News

Podcast web sitesi

www.voaswahili.com

Son bölüm

31 Mar 2025

Nereden dinlenir?

Uygulamada podcast'ler Replaio Radio Çok yakında

Podcast'ler çok yakında uygulamaya geliyor. Şimdi yükle ve podcast'lere yepyeni bir bakışı ilk gören sen ol

Google Play'den indir Ücretsiz yükle Android 5 Mn+ indirme · 4,8 puan iOS yakında

Bölümler

Kundi la RSF pamoja na washirika wake watia saini mkataba wa kuunda serikali sambamba Sudan. - Februari 24, 2025 24.02.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Mjumbe wa Trump akutana na Rais wa Ukraine licha ya mtafaruku uliopo kati ya Viongozi hao wawili - Februari 21, 2025 21.02.2025
Wananchi wanaitaka serikali ya Tanzania kuhakikisha umeme wa kutosha unapatikana nchi nzima - Februari 20, 2025 20.02.2025
Rwanda yasitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji - Februari 19, 2025 19.02.2025
Burundi yapokea wakimbizi 10,000 waliokimbia mapigano ya hivi karibuni mashariki mwa DRC - Februari 18, 2025 18.02.2025
Maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani na wanadiplomasia wa Russia kukutana Saudi Arabia kwa mazungumzo juu ya vita vya Ukraine - Februari 17, 2025 17.02.2025
WFP lajitahidi kufikisha misaada ya chakula kwa watu wote wa Sudan waliyotatizika kutokana na vita. - Februari 14, 2025 14.02.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Uhuru ashauri viongozi wa Afrika kujifunza kujitegemea badala ya kutegemea mataifa ya kigeni. - Februari 13, 2025 13.02.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Trump anaonekana kubadili msimamo kuhusu mpango wake wa kuchukua udhibiti wa Gaza - Februari 12, 2025 12.02.2025
Zaidi ya wanajeshi 100 watorokea Rwanda kufuatia mapigano ya Goma. - Februari 11, 2025 11.02.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Waasi wa M23 wasemekana kukaribia kabisa kuuchukua mji wa Goma mashariki mwa DRC. - Februari 10, 2025 10.02.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Umoja wa Mataifa waanza mazungumzo na M23 kupeleka misaada Goma - Februari 07, 2025 07.02.2025
Marekani yasusia mkutano wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini - Februari 06, 2025 06.02.2025
Trump apendekeza Wapalestina wahamishwe kutoka Gaza na wapelekwe katika nchi jirani za Kiarabu - Februari 05, 2025 05.02.2025
Muungano wa makundi ya waasi watangaza kusitisha mapigano mashariki mwa DRC kuanzia Februari 4 - Februari 04, 2025 04.02.2025
Trump akiri kuwa hatua yake ya kuziwekea ushuru Canada, Mexico na China itakuwa na madhara kwa Wamarekani - Februari 03, 2025 03.02.2025
Wabunge wa chama tawala wa Zimbabwe wapanga kufanya marekebisho ya katiba ili kuruhusu muhula wa tatu wa Rais. - Januari 31, 2025 31.01.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Zaidi ya mamluki 280 kutoka nchi za Ulaya washikwa mateka na M23 na kupelekwa Rwanda - Januari 30, 2025 30.01.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Maelfu ya wakazi wa Niger, Mali na Burkina Faso waunga mkono uamuzi wa nchi zao kujiondoa kwenye ECOWAS. - Januari 29, 2025 29.01.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Mali yachukua tani tatu za dhahabu kutoka kwa kampuni ya Barrick Gold ikiwa sehemu ya mzozo wa kifedha kati yao. - Januari 28, 2025 28.01.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Idadi ya vifo kutokana na mioto ya California yapita 20. - Januari 27, 2025 27.01.2025

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Trump atishia kuziwekea ushuru kampuni za kigeni zitakazopuuza wito wake wa kuja kuwekeza Marekani - Januari 24, 2025 24.01.2025
Trump alitaja kundi la Wahouthi wa Yemen kuwa kundi la kigaidi la kigeni - Januari 23, 2025 23.01.2025
Ujumbe wa Wamarekani ziarani nchini Rwanda kutafuta fursa za uwekezaji - Januari 22, 2025 22.01.2025
Trump atangaza hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu na afuta amri kadhaa za kiutendaji za mtangulizi wake - Januari 21, 2025 21.01.2025

Alfajiri - Voice of America podcast'ini Replaio'da dinle

Radyo ve podcast'ler tek uygulamada - ücretsiz, kayıt gerektirmez. Bugün yükle ve lansmanı kaçırma

Google Play'den indir

Replaio bir podcast yayıncısı değildir; program adları, kapak görselleri ve ses içerikleri yazarlarına aittir ve herkese açık RSS beslemeleri aracılığıyla dağıtılır