Abdallah Humeid

QASWASUL ANBIYAA - SH. ABDALLAH HUMEID ALHADHRAMY (KISA CHA MITUME)

Religion EN ↓ 40 episodes

Karibu katika mfululizo wa masomo ya Kitabu cha Qaswasul Anbiyaa (Kisa cha Mitume) yanayotolewa na mwalimu wetu, Sheikh Abdallah Humeid Alhadhramy (حفظه الله ورعاه) . Playlist hii inakusanya darsa zote zinazoendelea kufundishwa, kuanzia mwanzo wa kitabu hadi masomo ya sasa. Ungana nasi kujifunza historia ya Mitume ya Allah, mafunzo yaliyomo, na miongozo ya kimaisha kupitia ufafanuzi makini wa Sheikh Abdallah Humeid. Masomo yanajumuisha: Historia ya Mitume kuanzia Nabii Adam (A.S). Sharh na ufafanuzi wa kitabu cha Qaswasul Anbiyaa. Mawaidha na raddi mbalimbali za Sheikh Abdallah Humeid. Usisaha...

Author

Abdallah Humeid

Category

Religion

Podcast website

rss.com

Latest episode

Apr 17, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Tatu 08.04.2026

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Tatu

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Pili 08.04.2026

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Pili

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Kwanza 08.04.2026

Kisa cha Nabii Hud عليهم السلام Sehemu ya Kwanza

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya Tatu 08.04.2026

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya Tatu

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya Pili 08.04.2026

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya Pili

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya kwanza 08.04.2026

Kisa cha Nabii Nuh عليهم السلام Sehemu ya kwanza

Kisa cha Nabii Adam عليهم السلام Sehemu ya Nne 08.04.2026

Kisa cha Nabii Adam عليهم السلام Sehemu ya Nne

Kisa cha Nabii Adam عليهم السلام Sehemu ya Tatu 08.04.2026

Kisa cha Nabii Adam عليهم السلام Sehemu ya Tatu

Kisa cha Nabil Adam عليهم السلام Sehemu ya Pili 07.04.2026

Kisa cha Nabil Adam عليهم السلام Sehemu ya Pili

Kisa cha Nabil Adam عليهم السلام Sehemu ya Kwanza 07.04.2026

Kisa cha Nabil Adam عليهم السلام Sehemu ya Kwanza

Hikma ya Visa vya Mitume عليهم السلام 07.04.2026

Hikma ya Visa vya Mitume عليهم السلام

Baadhi ya Nyadhifa za Mitume عليهم السلام 07.04.2026

Baadhi ya Nyadhifa za Mitume عليهم السلام

Utangulizi - ALISRAILIYAAT 07.04.2026

Utangulizi - ALISRAILIYAAT

Kwanini Allah Ametumilizia Mitume Wanadamu 07.04.2026

Utangulizi - Kwanini Allah Ametumilizia Mitume Wanadamu

Utangulizi 07.04.2026

Utangulizi Kwenye Mfululizi wa Kisa cha Mitume

Listen to the QASWASUL ANBIYAA - SH. ABDALLAH HUMEID ALHADHRAMY (KISA CHA MITUME) podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.