Adrian Nzamba
Ni Salama
Ni salama rohoni mwangu ni Podcast inayokusaidia kuboresha mahusiano yako na Mungu kupitia mafundisho mbalimbali yanayotolewa na wahubiri, walimu na wachungaji kiganjani mwako. Tunakusaidia kuweza kuanza siku vyema ukiwa na neno la mungu kama taa itakayokuwa ikikuongoza katika shughuli zako za kila siku. Kupitia Ni Salama tutakuletea mafunzo na masomo yatakayokuwezesha kuelewa zaidi neno la Mungu linalopatikana kwenye Biblia huku tukikuongezea hamu na mvuto wa kuisoma Biblia yako. Karibu
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: ni-salama.simplecast.com
Author
Adrian Nzamba
Category
Podcast website
Latest episode
Nov 30, 2023
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Semina ya wanaume Kawe 2019: 4 09.07.2021 10:04
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airte...
Semina ya wanaume Kawe 2019: 3 09.07.2021 10:00
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airte...
Semina ya wanaume Kawe 2019: 2 09.07.2021 9:59
Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo: Bwana Yesu Asifiwe!! Hizi ndizo namba za simu za huduma: +255754211633, +255715511633 na +255682657080. Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airte...
Semina ya wanaume Kawe 2019 09.07.2021 10:02
Somo hili si mali ya Ni Salama bali ni mali ya Christopher nad Diana Mwakasege. Kupata somo hili na mengine tafadhali wasiliana nao kupitia njia zilizopo hapo chini. Hili somo na mengine yaliyowekwa kwenye podcast hii hayana nia ya kupata pesa bali kwa kujisogeza karibu na Mungu kwa njia ya mafundisho kama hili unalosikiliza. Kwa sadaka na shukurani tafadhali ziwasilishe kwa huduma ya Mana, namba...
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho (Sehemu ya tatu) 15.08.2019 10:05
Tutakusanyika mbele za Bwana tutaimba na kushangilia. Kama Yesu asingekufa msalabani safari yake ingekuwa bure. Maana angeishia kuponya watu na ingekuwa bure tu. Kama asingekufa na akafufuka ingekuwa shida sana. Biblia inasema ulitokea ubishi juu ya kiama ya wafu ule ubishi ulileta mtengano katika dini ya wayahudi na ukatengeneza dini ya masadukayo. Ugomvi wao ulikuwa ni imani yao juu ya kiama ya...
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho (Sehemu ya pili) 14.08.2019 9:56
Katika siku hizi za mwisho ambazo Yesu anakaribia kurudi dunia lazima ijue, mkubwa kwa mdogo lazima wajue kwamba kurudi kwa Bwana kumekaribia. Biblia inasema na watakatifu na wazidi kujitakasa, wanaofanya kazi ya Mungu na wafanye upesi maana Roho pamoja na malaika na watumishi wanasema njoo, maana yake kuna kitu kinachomzuia asije. Biblia inasema injili ya Ufalme wa Mungu itakapohubiwa kote, anasu...
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho 13.08.2019 10:13
Na Biblia inasema Yesu siku za mwisho hatakuja hapa duniani, kwa sababu maandiko yanasema kile kiti cha enzi kikubwa cheupe, kiti cha hukumu dunia itakimbia na mbingu zitakimbia na kwa sababu hiyo hicho kiti hakitakuwa duniani kwa sababu dunia itakimbia na mbingu zitakimbia. Biblia inasema nikawaona wafu wakubwa kwa wadogo wamesimama katika kiti cha enzi halafu atasimama pale kama hakimu. Sasa hiv...
Kama huna uhakika Yesu akikuita muda huu huna uhakika hakikisha leo unaokoka 12.08.2019 8:40
Kama huna uhakika Yesu akikuita muda huu huna uhakika hakikisha leo unaokoka Wakati fulani tulisafiri na mzungu mmoja alikuwa ni mjerumani toka Arusha kwenda Dar es salaam. Aliombewa lift na mwenzake ili tusafiri naye, tukamuuliza je umeokoka akasema hapana. Yeye anamuabudu shetani na anatoka kanisa linalomuabudu shetani. Nikamwambia hamna kanisa la namna hiyo. Nikamuuliza alikuwa anasali kanisa g...
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Nne) 24.07.2019 9:48
Tunapozungumza juu ya kumtumikia Mungu watu wengi sana hufikiria watu wachache tu yaani wahubiri, wachungaji, wainjilisti au wanaofanya kazi kanisani. Lakini kwenye Biblia inasema kila kiungo katika mwili wa Kristo kina nafasi yake na kazi yake kwa hiyo ni mtumishi wa Mungu. Inawezekana usihubiri, lakini pale ulipo ni mtumishi wa Mungu maana yake usimame katika kusudi lake ni kueneza Ufalme wake k...
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Pili) 19.07.2019 9:48
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Ukisoma Luka 8:12 “Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno mioyoni mwao, wasije wakaamini na kuokoka.” Pia Warumi 1:28 “Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.” Ufahamu ulioko ndani ya akili zisizofaa zilifanya wamkatae Mungu...
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Kwanza) 19.07.2019 10:05
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Hapa nilitaka uone katika ule mji Yesu alimpata mtu mmoja tu kwa lugha ya sasa tungesema “kwenye safari ya Yesu kuingia gharama ya kuvuka na boti kwenda kule na kufanya huduma alimpata mtu mmoja tu kwenye ule mji, na tofauti yao ilikuwa kwenye akili. Ingawa kwenye lile eneo wengine hawakuwa vichaa, haina maana kwamba akili zao zilikuwa huru haz...
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Tatu) 19.07.2019 10:13
Kwa hiyo tangu wakati ule kuna vitu ambavyo alivyokuwa anafanya moja kwa moja vinazaa tena mfano wa kile kitu alichobeba. Sasa unaweza ukaelewa kwa nini katika kipindi hiki cha Agano jipya ni lazima tuzaliwe kwa mara ya pili. Maandiko yanatuambia ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu na Biblia inatuambia tutaishi kwa imani Ni imani ya namna gani? Waebrania anasema Waebrania 11:6 “La...
Tufanye maombi na kuombea akili zetu na kutuondoa katika kushikwa na shetani! Omba sasa 18.07.2019 9:38
Baada ya sala na mafundisho ya Mwalimu Christopher Mwakasege changia huduma ya Mana Ministries iweze kuendelea, kukua na kufikia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi. NAMNA YA KUPATA KANDA, CDs & DVDs BONYEZA HAPA 👉🏼 https://goo.gl/xrSwmN NAMBA ZA SADAKA NA MAOMBI 👉🏼 https://goo.gl/7XcFiP MAOMBI YA KUOKOKA NA KITABU CHA HONGERA KWA KUOKOKA. 👉🏼 https://goo.gl/XKoJNB
Weka akiba mapema ikusaidie pale utakapo staafu 17.07.2019 10:21
Maana akili zako zinakuwa zimebanwa kabisa unapata pesa na unazitumia kienyeji kienyeji tu. Ili uweze kuelewa tafuta watu waliostaafu. Wengi sana wana maisha mabaya na ni wachache sana wana maisha mazuri, kwa sababu wengine walikuwa na maisha mazuri sana walipokuwa kazini. Walikuwa na magari na nyumba kumbe ni za shirika au kampuni ambayo anafanyia kazi lakini sio vya kwake. Maana wakati wa zamani...
Kutumia Ubongo na akili kufanya maamuzi ya chanzo na matumizi ya pesa zako 16.07.2019 9:46
UBONGO UNATAKIWA UKUSAIDIE KUWA NA MIPANGO YA KUPATA PESA LAKINI AKILI INATAKIWA ZIKUSAIDIE KUAMUA JUU YA CHANZO CHA KUPATA PESA NA KUAMUA MATUMIZI YA PESA HIZO Kazi mojawapo ya akili ni kutusaidia kupambanua mema na mabaya kwa jinsi ya Ki-Mungu ili tuweze kuchagua mema na kuacha mabaya. Biblia inatuambia kuwa akili zao kwa kutumiwa. haijasema kwa kutegemewa bali ni kutumiwa. Biblia imekataza kute...
Jifunze kukaa na mkeo kwa akili na si kiroho, jifunze sasa! 15.07.2019 10:04
Biblia haisemi wanaume tukae na wake zetu kiroho, kwa hiyo usijaribu kukaa na mke wako kiroho, kaa nae kwa akili. Ndani ya akili hizo Mungu atakupa neema ya kumsaidia kumpa heshima anayostahili. Lakini kuona ile nafasi kwa jinsi ya mwili ni chombo kisichokuwa na nguvu lakini katika ulimwengu wa roho wana nguvu kuliko sisi! Kwanini Mungu ameumba jambo jipya mwanamke atamlinda mwanaume wanawake ni w...
Ubongo unaona matatizo akili inaona fursa kwenye hayo matatizo 14.07.2019 10:04
1 Mambo ya Nyakati 12:32 “Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.” Nataka uone hapa anaposema walikuwa watu wenye akili za kujua nyakati na kitu cha kufanya kwenye nyakati Kwanini? Kwa sababu ukisoma kile kitabu cha Mhubiri; Mhubiri 3:1-2 “Kwa kila jambo kuna ma...
Sio swala la kuishi maisha marefu, ni swala la kuishi kwenye mapenzi ya Mungu 13.07.2019 9:46
Unaweza ukawa unafurahia biashara uliyonayo na kufikiri kwamba umefika lakini Mungu ana kitu kikubwa kuliko unachofikiri. Ila hujajua kwamba huko ndani yako kuna kitu gani kimekaa na kwanini ndani yako unaona ndoto kubwa au unaona hujaridhika mahali ulipo kumbe Mungu anajaribu kukusukuma kukuonyesha kwamba ndani yako amekuwekea kitu kikubwa kuliko unacho fikiri. Hivyo usitosheke na mahali ulipo ki...
Haijalishi unapitia hali gani na upo kwenye kipindi gani, Mungu yuko pamoja nawe 12.07.2019 10:12
Mtu aliyekuwa anatakiwa kwenye hii nafasi alitakiwa awe ana akili ya miaka 14 kusaidia Misri na nchi za jirani. Alitakiwa awe ana hekima pamoja na Roho wa Mungu ili kuweza kukamilisha jukumu hilo. Yusufu aligundua kuna kitu Farao alitakiwa akitolee nafasi (position) kwa sababu anaweza patikana mtu mwenye akili lakini asiwe na mahali pa kutumia akili zake. Kuna watu wana akili lakini hawana hekima...
Akili za mwanadamu zingekuwaje kama tusingepitia dhambi, ungekuwa wapi sasa? 11.07.2019 9:55
Jana tuliangalia kikwazo cha kwanza ni AKILI KUFUNGWA NA SHETANI na tukaangalia kwenye kile kitabu cha Luka 8:26 - 39 tukaangalia kwa undani pamoja na mistari mingine na maelezo kwa undani. Saa nyingine huwa nawaza sana namna akili ya mwanadamu ilivyo na ambavyo inafanya mambo makubwa je kama tusingepita kwenye dhambi ingekuwaje? Kwa sababu vitu vingi vimebuniwa na akili ya mwanadamu ambayo iko kw...
Tumia sala hii kuachilia Damu ya Yesu ifungue akili yako 10.07.2019 10:58
Weka mikono yako juu ya kichwa ili tufanye maombi ambayo Mungu atafuatilia muunganiko wa ubongo wako na akili zako. Kama kuna mapepo katika akili zako yataachia tu kwa jina la Yesu. Omba Mungu aponye akili zako na kuweka huo muunganiko vizuri kwa Damu ya Yesu. Nyunyiza Damu ya Yesu juu yako. Pia kama hujaokoka hakikisha unaokoka, angalia link ya sala ya Toba na kitabu cha Hongera kwa kuokoka. Pia...
Uko mahali kwenye maisha yako kila kitu kimesimama, Yesu anakutafuta 09.07.2019 9:59
Hii unaweza ukasikia mtu akisema “nimemlea huyu mtoto nikifikiri akili anazo kumbe hana”. Ukishasikia lugha ya nmna hiyo ina maana akili hazifanyi kazi inayotakiwa kwa sababu hamna mtu ambaye hana akili ila kuna namna zimebanwa. Sasa angalia yule kijana wa nchi ya Wagerasi kila mtu alikuwa kamkatia tamaa. Sasa Yesu alikuwa hafanyi jambo lolote isipokuwa kamuomba baba akifanya. Kwa hiyo walikuwa an...
Unapookoka neno la mungu huanza kushughulikia akili zako 08.07.2019 9:59
1 Petro 2:1-2 “Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;” Hakusema maziwa ya Roho amesema maziwa ya akili, Neno la Mungu unalopewa unapookoka mahali pa kushughulika napo pa kwanza ni akili zako ili upate kuukulia wokovu, ndio maana akili zik...
Nafsi na mwili viliumbwa vimilikiwe na roho 07.07.2019 9:59
NAFSI NA MWILI VILIUMBWA VIMILIKIWE NA ROHO Zaburi 63:1 “Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema, Nafsi yangu inakuonea kiu, Mwili wangu wakuonea shauku, Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.” Mwandishi anamwambia Mungu, “Mungu wangu nitakutafuta mapema”, anaposema nitakutafuta ni roho ya Daudi inamweleza Mungu ya kwamba nitakutafuta mapema. Roho hiyo hiyo inasema kwa niaba ya nafsi, inase...
Akili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yako 06.07.2019 9:59
AKILI KUFUNGWA NA SHETANI. Luka 8:26-39 “Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese. Kwa kuwa amemwamur...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.