Innocent Morris
Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.youtube.com
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
MAOMBI YA DAMU YA YESU by Innocent Morris 29.03.2022 6:56
Send us Fan Mail MAOMBI YA DAMU YA YESU by Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU by Innocent Morris 26.03.2022 39:55
Send us Fan Mail Haya ni maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Ni maombi yenye nguvu sana kwa imani utapokea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amina. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi." Matendo ya Mitume 1:8 Instagram Page: holyspiritconnect Face...
YAJUE MAMBO MATATU AMBAYO MUNGU HAWEZI KUFANYA by Innocent Morris 25.03.2022 10:44
Send us Fan Mail YAJUE MAMBO MATATU AMBAYO MUNGU HAWEZI KUFANYA by Innocent Morris Katika somo hili utajifunza mambo matatu ambayo Mungu hawezi kufanya kabisa hata iwe je. Contact: +255652796450 (WhatsApp)
MIMI NINAPITIA SHIDA. JE, NIFANYEJE? By Innocent Morris 25.03.2022 10:23
Send us Fan Mail MIMI NINAPITIA SHIDA. JE, NIFANYEJE? By Innocent Morris Je, unapitia shida na hujui cha kufanya? Sikiliza somo hili. Kwa maana Neno la Mungu limetuelekeza cha kufanya. Contact: +255652796450 (WhatsApp)
SABABU KUU TATU KWA NINI NI MUHIMU KUKESHA TUKIOMBA? by Innocent Morris 25.03.2022 12:58
Send us Fan Mail SABABU KUU TATU KWA NINI NI MUHIMU KUKESHA TUKIOMBA? by Innocent Morris Katika somo hili utajifunza umuhimu wa kukesha na kuomba katika maisha ya mkristo. Sikiliza. Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.