Innocent Morris
Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.youtube.com
Szerző
Innocent Morris
Kategória
A podcast weboldala
Legutóbbi epizód
2026. szept. 9.
Hol hallgathatod?
Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio HamarosanA podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz
Epizódok
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris 14.11.2025 58:28
Send us Fan Mail Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maombi ya usiku. Sikiliza sasa somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy S...
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris 14.11.2025 1:06:28
Send us Fan Mail Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho na litakusaidia kujua namna ya kushinda vizuizi vingi ambavyo vinainu...
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris 14.10.2025 1:05:49
Send us Fan Mail Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri. Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho. Sikiliza sasa somo hili. Usisa...
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris 14.10.2025 1:03:06
Send us Fan Mail Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi video hii ni kwa ajili yako. Karibu ujifunze katika somo hili siri tano za kuomba maombi yenye nguvu. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, K...
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU 14.10.2025 57:38
Send us Fan Mail Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atakuapatia haja ya moyo wako. "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu." Matendo ya Mitume 1:8 Usiache kush...
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris 16.09.2025 1:15:28
Send us Fan Mail MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris Karibu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo. Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza. Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema: "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno...
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris 16.09.2025 1:16:52
Send us Fan Mail MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris Karibu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. "Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katik...
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris 16.09.2025 40:38
Send us Fan Mail MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake. Utaongozwa kuomba ili: Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu. Uishi maisha yanayompendeza Kristo. Ushind...
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana. 27.05.2025 29:59
Send us Fan Mail Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana . Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpy...
Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu 03.11.2024 29:06
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita) 20.08.2024 30:00
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page : Holy Spirit Connect YouTube Link : https://www.youtube.com/@holyspiritconnect Contact : +255652796450 ( WhatsApp )
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano) 13.08.2024 30:00
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact : +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne) 12.08.2024 30:00
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu) 11.08.2024 30:00
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili) 10.08.2024 30:00
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Kwanza) 05.08.2024 29:46
Send us Fan Mail Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect Contact : +255652796450 (WhatsApp)
Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Tatu) 28.07.2024 30:00
Send us Fan Mail
Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Pili) 28.07.2024 30:00
Send us Fan Mail
Kujenga Mahusiano na Roho Mtakatifu (Sehemu ya Kwanza) 28.07.2024 30:00
Send us Fan Mail
Fanya Haya Pindi Unasubiri Muujiza Wako 23.07.2024 41:16
Send us Fan Mail
Nguvu ya Maombi ya Shukrani 01.06.2024 25:32
Send us Fan Mail
Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA KWANZA) 01.06.2024 30:00
Send us Fan Mail
Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA PILI) 01.06.2024 30:00
Send us Fan Mail
Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA TATU) 01.06.2024 30:00
Send us Fan Mail Can faith heal the body and spirit? Tune in to hear miraculous stories of divine intervention against serious illnesses like malaria, heart disease, cancer, and HIV. By exploring the powerful symbolism of the blood of Jesus and the importance of proper nutrition, we reveal how spirituality and health are deeply intertwined. Alongside these health narratives, we delve into the anci...
Namna Ya Kumtafuta Mungu Kwa Bidii (SEHEMU YA KWANZA) 30.05.2024 30:00
Send us Fan Mail
Hasonló podcastok
A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.