Roadtosuccesstz
ROAD TO SUCCESS
Road to success podcast is here to educate, inspire and transform you.
Besuch unbedingt die Website des Podcasts und unterstütze die Macher: podcasters.spotify.com
Autor
Roadtosuccesstz
Kategorie
Podcast-Website
Neueste Folge
27. Jun 2024
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
ONLINE FOREX TRADING FOR BEGINNERS 03.10.2020 1:34:45
Online forex trading for beginners
JINSI YA KUCHAGUA BUSINESS PARTNER by MOSSES RAYMOND 13.09.2020 50:51
Jinsi ya kuchagua wabia(business partners)
NEVER GIVE UP II Roadtosuccesstz 04.08.2020 8:50
Hata kama mambo ni magumu, ilimradi bado una pumzi, usikate tamaa. II Rodricknabe
Weekly audio-July 26th II Roadtosuccesstz Rodricknabe 26.07.2020 6:59
Chochote unachokifanya kwa ajili yako, ukiondoka unaondoka nacho. Chochote unachokifanya kwa ajili ya wengine, ukiondoka kinabaki kama LEGACY
WEEKLY AUDIO-OUTWIT THE DEVIL 19.07.2020 10:04
Audio ya wiki hii inagusia kitabu hadimu cha OUTWITTING THE DEVIL cha Napoleon Hill
Weekly audio II HOW TO SELL YOURSELF 12.07.2020 5:34
Unahitaji mambo matatu katika kuuza- COMPETENCE, LIKABILITY & LUCK (Arch Lustberg)
ANDIKA KITABU CHAKO- Hatua 7 za kuandika kitabu chako II Rodricknabe @Roadtosuccesstz 01.07.2020 20:43
Kama una shauku ya kuandika kitabu lakini hujui unzie wapi, basi hii podcast ni kwa ajili yako. Utajifunza hatua 7 za kuandika kitabu chako.
NJIA 12 ZA KUPATA MTAJI II Rodricknabe @Roadtosuccesstz 24.06.2020 12:07
Sikiliza audio ya Njia 12 za kupata Mtaji. Jifunze zaidi.
SPEAKERS CONFERENCE2020 18.06.2020 10:30
Kongamano kubwa la wazungumzaji (Public speakers) na Wajasiriamali (Entreprenuers)
HABITS-TABIA. JIFUNZA KUTENGENEZA TABIA ZA KIMAFANIKIO 10.06.2020 35:51
Katika podcast hii utajifunza sayansi ya tabia. Jinsi ya kutengeneza tabia za kimafanikio na jinsi ya kuvunja tabia mbaya.
BIASHARA 9 ZINAZOFANYA VIZURI WAKATI WA PANDEMIC kama COVID-19 07.06.2020 16:32
Jifunze kufanya hizi biashara katika kipindi cha covid-19 au pandemic yoyote.
ERIC SHIGONGO II HABITS(Tabia) 07.06.2020 12:18
Eric Shigongo anaelezea nguvu ya tabia.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 6 29.05.2020 6:36
Hii ni hatua ya kujiuzuru. Lazima utoke kwenye ajira yako na uanze kufanya mambo yako. Hiki ni kitendo cha imani. Lazima uwe na imani kwamba maiaha yatakuwa mazuri bila mshahara. Wewe sio wa kwanza kuacha ajira. Mwanzoni mambo yatakuwa magumu lakini ukiwa mkomavu, milango mipya itafunguka.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 5 29.05.2020 5:50
Katika hatua hii, anza kutumia muda wako wa ziada kujenga taaluma yako mpya au biashara yako mpya. Utahitajika kuwekeza zaidi ya masaa 10 kwa siku.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya 4 29.05.2020 6:00
Anza kutengeneza uzoefu mpya na pia tengeneza mtandao wa marafiki nje ya ajira yako. Soma vitabu, sikiliza jumbe za hamasa na angalia video zenye hamasa na maarifa sahihi.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya tatu(3) 29.05.2020 6:41
Hatua ya tatu ni kuanza mchakato wa kuweka akiba. Utakapoacha ajira, akiba yako ndiyo hazina yako. Ongeza kiwango cha kuweka akiba.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya pili (2) 29.05.2020 6:41
Katika hatua ya pili, lazima uandike tarehe ya kuacha kazi. Lengo bila mipaka ya muda linakosa msukumo. Pia tafuta DIARY ambapo utakuwa unaonyesha mikakati yako ya kila siku.
HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya kwanza (1) 29.05.2020 10:20
Inawezekana ndoto zako umezikalia muda mrefu kwa sababu upo kwenye ajira. Hii ni hatua ya kwanza ya kuacha kazi ili uweze kujiajiri. Usisahau kufuatilia hatua zinazofuata.
MAMBO MATATU (3) YA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI UWE MTU WA THAMANI II Rodricknabe @Roadtosuccesstz 29.05.2020 6:33
Haya mambo matatu yatakufanya uwe mtu wa thamani katika jamii. Waliofanikiwa wanayafanya haya, kwanini usifuate alama hizi za mafanikio.
HOW TO GET A JOB OF YOUR CHOICE II Rodrick Nabe 28.05.2020 10:03
Any graduates dream of getting a job of their choice. These 8 tips will help. If you are a parent, share these tips with your children. If you are a student of graduate, take action.
TABIA 10 ZA KIMAFANIKIO 27.05.2020 7:49
Jifunze tabia 10 ambazo zitabeba mafanikio yako. Kumbuka kwamba una uwezo wa kujifunza tabia mpya. Ni maamuzi tu.
Ähnliche Podcasts
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet