Innocent Morris
Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Určitě navštivte web podcastu a podpořte jeho tvůrce: www.youtube.com
Autor
Innocent Morris
Kategorie
Web podcastu
Nejnovější epizoda
9. zář 2026
Kde poslouchat?
Podcasty v aplikaci Replaio Radio Už brzyPodcasty míří do aplikace už brzy. Nainstaluj si ji teď a jako první uvidíš úplně nový pohled na podcasty
Epizody
MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris 09.09.2026 48:33
Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo. Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayoku...
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris 04.09.2026 49:59
Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubariki...
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris 02.09.2026 22:24
Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiw...
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris 31.08.2026 1:09:04
Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi. Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubari...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris 27.08.2026 1:08:36
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi n...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris 24.08.2026 1:06:29
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi n...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris 19.08.2026 1:31:54
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya Pili (Part 2) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi n...
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris 17.08.2026 1:01:01
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi...
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris 10.08.2026 59:17
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku. " Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa ." Ufunuo wa Yohana 12:11 Mungu akubariki unapofuatilia...
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris 28.06.2026 1:17:15
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza. "Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake." Waefeso 1:7...
KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris 24.06.2026 59:16
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi ya nguvu ya kiroho ya damu hiyo ili kupata ushindi na ulinzi katika maisha ya kila siku. Misingi yake mikuu inajumuisha: Ukombozi na Msamaha : Damu ya Yesu ilimwagika ili kuondoa dhambi na kutoa mamlaka ya kushinda nguvu za g...
DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris 31.05.2026 1:05:20
Send us Fan Mail Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Ubarikiwe sana. Innocent Morris Contact : +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page : Holy Spirit Connect
JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris 24.05.2026 1:06:08
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha. " Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi ." Waefeso 4:30 Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumh...
KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris 19.05.2026 1:07:52
Send us Fan Mail Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya? Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake. Hili ni somo muhim...
JINSI YA KUWA NA URAFIKI WA KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris 19.05.2026 1:16:39
Send us Fan Mail Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu. Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo lina kufaa. Karibu ujifunze sana. Ubarikiwe sana. Innocent Morris Contact : +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page : Holy Spirit Connect
ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris 18.05.2026 1:08:25
Send us Fan Mail Katika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano: Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini? Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini? Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakay...
MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris 20.04.2026 1:01:11
Send us Fan Mail Katika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu. Maandiko yanatuonya: " Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu ." Waefeso 4:30 Somo hili litakusaidia: Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike. Kujifunza jinsi ya kul...
JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris 13.04.2026 1:03:37
Send us Fan Mail Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili. Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu. Chukua pen na notebook ujifunze sasa. Ubarikiwe sana Contact : +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : h...
JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris 13.04.2026 56:32
Send us Fan Mail Mungu akubariki sana. Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page : holyspiritconnect Facebook Page : Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 ( WhatsApp )
MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris 25.03.2026 34:49
Send us Fan Mail Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako. "Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa." 1 Petro 2:24 Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Conne...
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris 29.01.2026 23:35
Send us Fan Mail Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako. Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +2...
JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris 13.01.2026 1:05:41
Send us Fan Mail Katika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris 03.01.2026 22:10
Send us Fan Mail Katika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako katika mwaka huu mpya wa 2026. Pia utajifunza namna ya kuishi maisha ya kumiliki katika mwaka mpya wa 2026. Contacts: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Sp...
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris 03.01.2026 1:43:25
Send us Fan Mail Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya. Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na tai...
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris 24.11.2025 1:33:53
Send us Fan Mail Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako. MSTARI: "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa." Mathayo 15:13 Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp)
Podobné podcasty
Replaio není vydavatelem podcastů; názvy pořadů, obálky a audio patří jejich autorům a šíří se přes veřejné RSS kanály